-
Seneta wa Marekani aionya Saudia kwa kushusha bei ya mafuta
Apr 03, 2020 23:42Seneta wa chama cha Republican nchini Marekani ameitahadharisha Saudia kuhusu kushuka kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia kutokana na tofauti zake na Russia na kuitaka ibadili mienendo yake.
-
Mgogoro wa Corona na kuendelea kilio cha wauguzi wa New York kutokana na uhaba wa vifaa
Apr 03, 2020 08:13Wauguzi wa hospitali za New York nchini Marekani wamekusanyika katika maeneo yao ya kazi wakiitaka serikali iongeze vifaa vya kuwasaidia wahudumu wa afya kujikinga na maambukizo ya maradhi.
-
Uafriti wa Trump wa kuanzisha chokochoko na mivutano katika eneo kwa kuzusha tuhuma dhidi ya Iran
Apr 03, 2020 02:27Licha ya hali ya dharura na isiyo ya kawaida iliyopo kimataifa kutokana na mripuko wa janga la corona lililoikumba dunia nzima, Marekani ingali inaendelea kufuata muelekeo wa utumizi wa nguvu za kijeshi na kushikilia kuchukua hatua za kijeshi katika siasa zake za nje.
-
Brigedia Jenerali Baqeri: Hatua yoyote dhidi ya Iran itajibiwa vikali zaidi
Apr 02, 2020 22:31Kamanda wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amezungumzia harakati za kijeshi za Marekani nchini Iraq na katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kueleza kuwa Marekani itakabiliwa na jibu kali iwapo itachua hatua au kutaka kuteteresha usalama wa Iran.
-
Mjumbe wa kamati ya ulinzi na usalama Iraq: Maafisa wa Marekani walifanya vikao na Maba'ath
Apr 02, 2020 22:30Mjumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya bunge la Iraq amefichua kuwa, baadhi ya maafisa wa Marekani walioko katika nchi jirani na Iraq, walifanya vikao kadhaa na viongozi wa chama kilichopigwa marufuku cha Ba'ath.
-
Rouhani: Marekani imepoteza fursa ya kihistroria ya kusahihisha makosa yake
Apr 01, 2020 21:55Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imepoteza fursa ya kipekee na ya kihistoria ya kusahihisha makosa yake kwa kukataa kulindolea taifa hili vikwazo haramu wakati huu ambapo Iran inakabiliana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwana virusi vya corona.
-
Marekani yaendelea kuua raia katika mashambulizi yake ya anga Somalia
Apr 01, 2020 21:53Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema jeshi la Marekani linaendelea kuua raia wasio na hatia katika mashambulizi yake ya anga nchini Somalia.
-
Masoko ya hisa yaporomoka baada ya White House kusema corona itaua Wamarekani 240,000
Apr 01, 2020 21:52Masoko ya hisa ya Marekani yameporomoka vibaya kufuatia tangazo la Ikulu ya White House kuwa ugonjwa wa Covid-19 huenda utaua Wamarekani hadi laki mbili na elfu arubaini (240,000) ndani ya wiki mbili zijazo.
-
Guterres: Mgogoro wa sasa wa virusi vya corona ndio mbaya zaidi duniani tangu baada ya Vita vya Pili vya Dunia
Apr 01, 2020 03:41Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa maambukizi ya sasa ya virusi vya corona ndiyo mgogoro mkubwa zaidi duniani tangu baada ya vita vya Pili vya Dunia.
-
Malengo ya kuhamishwa wanajeshi wa Marekani nchini Iraq
Apr 01, 2020 02:14Katika siku chache za hivi karibuni kuwekuwepo operesheni kabambe ya kuhamishwa wanajeshi wa Marekani kutoka sehemu moja ya kupelekwa jingine ndani ya ardhi ya Iraq.