Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Wafanyakazi za vibarua nchini Marekani wafanya mgomo huku janga la corona likiendelea kuitikisa dunia

    Wafanyakazi za vibarua nchini Marekani wafanya mgomo huku janga la corona likiendelea kuitikisa dunia

    Mar 31, 2020 21:52

    Wafanyakazi za vibarua wa sekta mbali mbali nchini Marekani wamefanya mgomo kulalamikia upuuzaji unaofanywa na waajiri wao kuhusiana na afya zao sambamba na kushtadi maambukizi ya kirusi cha covid-19 nchini humo.

  • Rezai: Hatua yoyote ya kijeshi itakayochukua Marekani Iraq ni sawa na shambulio linalofanywa na DAESH (ISIS)

    Rezai: Hatua yoyote ya kijeshi itakayochukua Marekani Iraq ni sawa na shambulio linalofanywa na DAESH (ISIS)

    Mar 31, 2020 11:23

    Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema, hatua yoyote ya kijeshi itakayochukua Marekani nchini Iraq itakuwa sawa na hujuma inayofanywa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS).

  • Marekani yakiri kuiwekea Iran vikwazo vya dawa

    Marekani yakiri kuiwekea Iran vikwazo vya dawa

    Mar 31, 2020 03:49

    Kuendelea vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu hata katika mazingira haya magumu ya kuenea virusi vya corona na kuwekwa vizingiti vya kila aina katika njia ya kudhaminiwa vifaa vya afya na matibabu kwa ajili ya kukabiliana na virusi hivyo, kumewafanya wengi wakiri kuwa 'mashinikizo ya juu zaidi' ya Marekani dhidi ya Iran yanajumuisha hata mfumo wa afya na tiba wa nchi hii.

  • Harakati ya Al-Nujaba ya Iraq yaitahadharisha Marekani juu ya hatua yoyote ya uvamizi nchini humo

    Harakati ya Al-Nujaba ya Iraq yaitahadharisha Marekani juu ya hatua yoyote ya uvamizi nchini humo

    Mar 31, 2020 01:46

    Harakati ya Al-Nujabaa ya nchini Iraq, imeitahadharisha Marekani kuhusu uvamizi wowote tarajiwa ndani ya ardhi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Kuondoka askari wa Marekani katika kambi tatu za jeshi nchini Iraq, ni stratijia au taktiki?

    Kuondoka askari wa Marekani katika kambi tatu za jeshi nchini Iraq, ni stratijia au taktiki?

    Mar 30, 2020 23:16

    Wanajeshi wa Marekani wameondoka katika kambi ya K1 huko kaskazini mwa Iraq. Maudhui ya kuondoka wanajeshi wa Marekani nchini Iraq imekuwa suala na mjadala muhimu katika kipindi cha miezi mitatu ya mwaka huu wa 2020.

  • Wakati dunia imezongwa na corona, Marekani yawapelekea shehena za silaha magaidi nchini Syria

    Wakati dunia imezongwa na corona, Marekani yawapelekea shehena za silaha magaidi nchini Syria

    Mar 30, 2020 23:15

    Katika hali ambayo dunia imehamanika kutokana na janga la kirusi hatari cha corona, ndio kwanza dola la kibeberu na kiistikbari la Marekani linawatumia shehena za silaha magaidi huko nchini Syria.

  • Sisitizo la Marekani kuendeleza operesheni za kijeshi nje ya nchi licha ya maambukizi ya Corona

    Sisitizo la Marekani kuendeleza operesheni za kijeshi nje ya nchi licha ya maambukizi ya Corona

    Mar 29, 2020 21:59

    Kuenea kusiko kwa kawaida kwa virusi angamizi vya Corona duniani, kumezifanya nchi nyingi za dunia kukumbwa na hali ngumu na matatizo.

  • Aghalabu ya Wamarekani wanakerwa na upotoshaji wa Trump kuhusu Corona

    Aghalabu ya Wamarekani wanakerwa na upotoshaji wa Trump kuhusu Corona

    Mar 29, 2020 03:29

    Utafiti mpya wa maoni unaonesha kuwa akthari ya wananchi wa Marekani wanakerwa na upotoshaji na propaganda zinazoendeshwa na Rais Donald Trump kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19 (Corona) nchini humo.

  • Radiamali ya bunge la Afghanistan kwa kitisho cha Marekani cha kuipunguzia misaada nchi hiyo

    Radiamali ya bunge la Afghanistan kwa kitisho cha Marekani cha kuipunguzia misaada nchi hiyo

    Mar 28, 2020 21:48

    Bunge la Afghanistan limetangaza kuwa matamshi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kuhusu kupunguzwa kiasi cha dola bilioni moja za misaada ya nchi hiyo kwa Kabul ni kinyume na mapatano ya kistratejia ya pande mbili.

  • Harakati ya Hizbullah: Njama za Marekani hazitopunguza muqawama wa Wairaki

    Harakati ya Hizbullah: Njama za Marekani hazitopunguza muqawama wa Wairaki

    Mar 28, 2020 08:10

    Harakati ya Hizbullah ya Iraq imesema kuwa, hatua chafu za Marekani dhidi ya nchi hiyo, hazitakuwa na taathira yoyote kwenye muqawama wa Wairaki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS