-
Hasira ya mwakilishi wa New York kwa mpango wa kuokoa uchumi wa Marekani mkabala wa Corona
Mar 28, 2020 07:30Mwakilishi wa jimbo la New York, Marekani amekasirishwa na hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kutia saini mpango wa kukabiliana na Corona bila kuhudhuriwa na Wademocrat.
-
Marekani yakataa kuachia fedha za Iran za kuiwezesha kukabiliana na corona
Mar 28, 2020 03:43Marekani imekataa katika mazingira haya tete ya janga la corona kuachia mali na fedha za Iran zitakazoiwezesha Jamhuri ya Kiislamu kukabiliana na kirusi hicho angamizi.
-
Vikwazo vipya vya Marekani; sisitizo la Washington la kuendeleza sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran
Mar 28, 2020 01:47Licha ya matakwa na mashinikizo ya kimtaifa ya kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya Marekani dhidi ya Iran hasa kwa kuzingatia mlipuko wa virusi vya corona na kuweko ulazima wa kukabiliana navyo, lakini serikali ya Washington inasisitiza kuendeleza utendaji wake usio wa kiutu na kibinadamu.
-
Ombi la nchi 8 kwa Umoja wa Mataifa kuhusu kuondolewa vikwazo dhidi ya Iran
Mar 27, 2020 05:25Kuendelea vikwazo vya kidhalimu na vilivyo dhidi ya ubinadamu vya Marekani dhidi ya Iran katika fremu ya mashinikizo ya juu kabisa ya utawala wa Trump katika kipindi hiki cha kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona nchini Iran sambamba na udharura wa kukabiliana na ugonjwa huo angamizi kumepelekea jamii ya kimataifa iwasilishe maombi ya kutaka vikwazo hivyo viondolewa mara moja.
-
Marekani yaongoza kwa kuwa na kesi nyingi za corona duniani
Mar 27, 2020 03:41Idadi ya watu walioambukizwa virusi vya corona nchini Marekani imeongezeka na kufikia watu 82,400, hiki kikiwa ni kiwango kikubwa zaidi cha maambukizi ya virusi hivyo duniani hivi sasa.
-
Radiamali ya Venezuela baada ya Marekani 'kumshtaki' Rais Maduro
Mar 27, 2020 03:31Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amekosoa vikali na kutaja kama kichekesho hatua ya Marekani ya eti kumfungulia mashitaka ya ulanguzi wa mihadarati, ambapo amemtaja rais wa nchi hiyo, Donald Trump kuwa mtu mbaguzi.
-
Kuendelea vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran katika kivuli cha Corona
Mar 27, 2020 03:28Katika radiamali yake dhidi ya msimamo wa hivi karibuni wa Mike Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani juu ya kuendelea mashinikizo ya juu zaidi ya Washington dhidi ya Tehran, Muhammad Jawad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaja waziri huyo wa Marekani kuwa 'waziri wa chuki'.
-
Zarif: Janga la corona halisazi taifa lolote, hata Marekani inaomba msaada
Mar 26, 2020 22:33Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameiasi Marekani kubadili mienendo yake ili mripuko wa ugonjwa wa covid-19 ambalo ni janga la kimataifa lisilochagua taifa, usigeuke na kuwa mgogoro wa daima.
-
Waziri Zarif: Pompeo ni Waziri wa Chuki wa Marekani
Mar 26, 2020 06:38Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali mienendo ya mwenzake wa Marekani, Mike Pompeo ya kueneza chuki, uhasama na propaganda dhidi ya Iran na kumtaja waziri huyo wa utawala wa Donald Trump kama Waziri wa Chuki.
-
Hitilafu za kisiasa zaongezeka nchini Marekani kuhusu makabiliano na Corona
Mar 26, 2020 00:58Kuenea virusi vya Corona na ugonjwa wa Covid-19 nchini Marekani si tu kwamba kumekuwa na taathira kubwa za kiuchumi na kijamii, bali pia kumegeuka na kuwa mjadala mkubwa ndani ya Bunge la Kongresi na ikulu ya White House.