Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Madai ya Pompeo: China na Russia zinaficha taarifa za virusi vya Corona

    Madai ya Pompeo: China na Russia zinaficha taarifa za virusi vya Corona

    Mar 25, 2020 23:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amedai kuwa serikali za Russia na China zinajiepusha kutoa taarifa sahihi za virusi vya Corona.

  • Mwito wa wabunge wa Marekani wa kupunguzwa vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya Iran

    Mwito wa wabunge wa Marekani wa kupunguzwa vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya Iran

    Mar 25, 2020 02:31

    Baada ya serikai ya Trump huko Marekani kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018, ilianza kuiwekea Iran vikwazo vya kila namna ambavyo Trump anajingamba kuwa hakuna nchi yoyote duniani iliyowahi kuwekewa vikwazo vikubwa, vikali na vingi kama alivyoiwekea Iran.

  • Shamkhani: Watawala wa Marekani wanatumia corona kama fursa ya kuendeleza uhasama

    Shamkhani: Watawala wa Marekani wanatumia corona kama fursa ya kuendeleza uhasama

    Mar 24, 2020 22:00

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesisitiza kuwa: "Watawala wa Marekani wanatumia corona kama fursa ya kuendeleza uhasama."

  • Kuna uwezekano watu milioni saba watafariki dunia nchini Marekani kutokana na corona

    Kuna uwezekano watu milioni saba watafariki dunia nchini Marekani kutokana na corona

    Mar 24, 2020 10:19

    Utafiti mpya uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani umeonyesha kuwa, kutokana na uhaba wa vifaa vya kupumulia, watu zaidi ya milioni saba watafariki dunia endapo wataambukizwa kirusi cha corona.

  • Trump awataka Wamarekani wafungue biashara zao licha ya corona kuendelea kuua

    Trump awataka Wamarekani wafungue biashara zao licha ya corona kuendelea kuua

    Mar 24, 2020 03:01

    Rais wa Marekani, Donald Trump amewataka wananchi wa nchi hiyo kurejea katika biashara na shughuli zao za kila siku haraka iwezekanavyo akidai kuwa, idadi ya watu watakaojiua kutokana na msongo wa mawazo nchini humo itakuwa kubwa ikilinganishwa na ile ya wanaokufa kutokana na ugonjwa wa covid-19 (corona).

  • Viongoza wa New York waonya juu ya maafa yanayotokana na uhaba wa vifaa vya tiba

    Viongoza wa New York waonya juu ya maafa yanayotokana na uhaba wa vifaa vya tiba

    Mar 23, 2020 22:06

    Meya wa mji wa New York nchini Marekani ametahadharisha kuhusu ongezeko la hasara inayotokana na uhaba wa vifaa vya tiba na ametabiri kwamba, katika kipindi cha miezi miwili ijayo mgogoro unaotokana na virusi vya corona utakuwa mkubwa zaidi.

  • Radiamali ya Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu kadhia ya Amer Al-Fakhoury

    Radiamali ya Sayyid Hassan Nasrullah kuhusu kadhia ya Amer Al-Fakhoury

    Mar 22, 2020 04:49

    Kuachiliwa huru na kutoroshwa Amer Al-Fakhoury, kibaraka mwenye uraiapacha wa Lebanon na Marekani, ilikuwa ndio maudhui kuu ya hotuba aliyotoa Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon usiku wa kuamkia jana.

  • Iran yakanusha madai ya uongo ya Marekani kuhusu vikwazo vya dawa na chakula

    Iran yakanusha madai ya uongo ya Marekani kuhusu vikwazo vya dawa na chakula

    Mar 22, 2020 03:02

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha vikali madai ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani iliyodai kuwa eti vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya Iran havihusu dawa na chakula.

  • Utabiri wa kupungua asilimia 24 ya pato ghafi la ndani Marekani kwa sababu ya corona

    Utabiri wa kupungua asilimia 24 ya pato ghafi la ndani Marekani kwa sababu ya corona

    Mar 22, 2020 02:30

    Maambukizi ya virusi vya corona na ugonjwa wa COVID-19 yameathiri sana uchumi wa dunia na kuacha taathira kubwa hasi kwa uchumi wa Marekani. Utabiri unaonyesha kuwa, uchumi wa Marekani unakabiliwa na hali ngumu kupita kiasi.

  • Kuthibitika kuwa uchumi wa Marekani umeingia katika mdororo mkubwa

    Kuthibitika kuwa uchumi wa Marekani umeingia katika mdororo mkubwa

    Mar 21, 2020 01:38

    Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitumai kutumia madai yake ya mafanikio ya kiuchumi katika kampeni zake za uchaguzi wa rais nchini humo mwaka huu wa 2020, lakini hakuwa ametabiri kuhusu kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona ambao umepelekea kuporomoka masoko ya hisa Marekani na hivyo kuingiza uchumi huo mkubwa zaidi duniani katika mdororo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS