Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Luxembourg yaiandikia barua EU kuhusu kutambuliwa rasmi taifa la Palestina

    Luxembourg yaiandikia barua EU kuhusu kutambuliwa rasmi taifa la Palestina

    Dec 09, 2019 23:50

    Luxembourg imeuandikia barua Umoja wa Ulaya, ikiutaka umoja huo uitambue rasmi nchi huru ya Palestina.

  • Hafla ya

    Hafla ya "Milango Wazi" yafanyika katika misikiti Marekani kwa ajili ya kuutangaza Uislamu

    Dec 09, 2019 08:53

    Waislamu katika jimbo la Ohio nchini Marekani wamefanya hafla iliyopewa jina la "Milango Wazi" katika misikiti yao kwa kuwakaribisha wasio Waislamu misikitini humo ili waweze kuuelewa Uislamu.

  • Seneta wa Republican: Saudi Arabia ni mhusika  wa ugaidi dhidi ya Marekani

    Seneta wa Republican: Saudi Arabia ni mhusika wa ugaidi dhidi ya Marekani

    Dec 09, 2019 04:33

    Seneta wa chama tawala cha Republican nchini Marekani amesema Saudi Arabia inabeba dhima ya matukio ya kigaidi dhidi ya Marekani.

  • Azimio la Kongresi ya Marekani dhidi ya uvamizi wa utawala wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi

    Azimio la Kongresi ya Marekani dhidi ya uvamizi wa utawala wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi

    Dec 08, 2019 23:11

    Serikali ya rais Donald Trump imekuwa ikitekeleza hatua zisizo za kawaida katika uwanja wa kuunga mkono vitendo vilivyo kinyume cha sheria vya utawala haramu wa Israel dhidi ya taifa la Palestina.

  • Zarif: Mafanikio ya kisayansi ya wasomi Wairani ni mwiba katika macho ya maadui

    Zarif: Mafanikio ya kisayansi ya wasomi Wairani ni mwiba katika macho ya maadui

    Dec 08, 2019 01:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif amesema katika kipindi cha miaka 40 iliyopita, Marekani imekuwa ikijaribu kuzuia ustawi wa Iran lakini haijaweza kufanikiwa.

  • Raia wa Saudia awapiga risasi watu 11 nchini Marekani

    Raia wa Saudia awapiga risasi watu 11 nchini Marekani

    Dec 07, 2019 04:04

    Mwanafunzi wa urubani raia wa Saudi Arabia amewafytaulia risasi watu 11 na kuua watatu miongoni mwao katika kambi ya kijeshi ya Pensacola jimboni Florida nchini Marekani.

  • Tahadhari ya Russia kuhusu uwezekano wa kusambaratika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Tahadhari ya Russia kuhusu uwezekano wa kusambaratika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Dec 06, 2019 07:00

    Baada ya Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka 2018 wanachama wengine wa makubaliano hayo wamekuwa wakitilia mkazo udharura wa kulindwa mapatano hayo ya kimataifa kutokana na umuhimu wake katika kulinda amani na usalama wa kimataifa.

  • Sera za undumilakuwili za Marekani nchini Syria

    Sera za undumilakuwili za Marekani nchini Syria

    Dec 06, 2019 04:34

    Tangu mwaka 2014, Marekani imejiingiza kijeshi kinyume cha sheria nchini Syria kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Daesh; na hivi sasa pia, licha ya madai ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kwamba imejiondoa kijeshi katika ardhi ya Syria, imeshatafuta kisingizio kingine kipya ili kurefusha muda wa kuweko askari wake nchini humo.

  • Troika ya Ulaya yafuata nyazo za Marekani katika njama dhidi ya mpango wa makombora ya kujihami ya Iran

    Troika ya Ulaya yafuata nyazo za Marekani katika njama dhidi ya mpango wa makombora ya kujihami ya Iran

    Dec 05, 2019 23:18

    Pamoja na kuwa nchi za Ulaya zinadai kuwa zinaunga mkono ulindwaji wa mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), Troika ya Ulaya (Ujerumani, Ufaransa na Uingereza) inatekeleza sera za vitisho dhidi ya Iran na imeamua kufuata nyayo za Marekani katika kupinga uwezo wa makombora ya Iran ambayo lengo lake ni kujihami tu.

  •  Marekani yaendeleza jitihada za kuishinikiza Uturuki iache kununua ngao ya makombora ya S-400

    Marekani yaendeleza jitihada za kuishinikiza Uturuki iache kununua ngao ya makombora ya S-400

    Dec 05, 2019 03:53

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani imetangaza kuwa Washington ingali inaendelea kufanya mazungumzo na kuishinikiza Ankara ili iachane na mpango wake wa kutaka kununua ngao ya makombora ya S-400 kutoka Russia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS