Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Marekani yafanya kwa siri jaribio la kombora la kizazi kipya la 'Ninja' nchini Syria

    Marekani yafanya kwa siri jaribio la kombora la kizazi kipya la 'Ninja' nchini Syria

    Dec 04, 2019 13:18

    Jeshi vamizi la Marekani na katika mwendelezo wa operesheni zake za siri huko kaskazini mwa Syria, kwa mara nyingine limelifanyia majaribio kombora lake la kizazi kipya linaloitwa 'Ninja.'

  • Rouhani: Mazungumzo na kundi la 5+1 yanawezekana iwapo vikwazo vya kidhalimu dhidi ya Iran vitaondolewa

    Rouhani: Mazungumzo na kundi la 5+1 yanawezekana iwapo vikwazo vya kidhalimu dhidi ya Iran vitaondolewa

    Dec 04, 2019 04:23

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na viongozi wa kundi la 5+1 iwapo Marekani italiondolea taifa hili vikwazo vyake vya kidhalimu.

  • Ijumaa Nyeusi, Wamarekani walinunua silaha zinazolitosha jeshi la nchi kavu

    Ijumaa Nyeusi, Wamarekani walinunua silaha zinazolitosha jeshi la nchi kavu

    Dec 03, 2019 23:31

    Idara ya Upepezi ya Marekani (FBI) imetangaza kwamba imepokea maombi zaidi ya laki mbili ya kufanya uchunguzi kuhusiana na mauzo ya silaha za moto kwa mnasaba wa siku ya Ijumaa Nyeusi (Black Friday), kiwango ambacho ni cha pili kwa ukubwa cha mauzo ya silaha tangu mwaka 1998.

  • Watu 54 wauawa au kujeruhiwa kwa kufyatuliwa risasi Marekani

    Watu 54 wauawa au kujeruhiwa kwa kufyatuliwa risasi Marekani

    Dec 02, 2019 01:13

    Idara ya Takwimu za Utumiaji Silaha kwa Mabavu Marekani imesema watu 54 wameuawa au kujeruhiwa katika vitendo vya ufatulianaji risasi nchini humo katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita.

  • Waziri Mkuu wa Sudan aelekea Washington katika juhudi za kupigania nchi yake iondolewe vikwazo

    Waziri Mkuu wa Sudan aelekea Washington katika juhudi za kupigania nchi yake iondolewe vikwazo

    Dec 01, 2019 23:07

    Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok ameelekea mjini Washington katika juhudi za kupigania nchi yake iondolewe vikwazo ilivyowekewa na Marekani na kuondolewa jina la nchi hiyo kwenye orodha ya wafadhili na waungaji mkono wa ugaidi.

  • Larijani: Watawala wa Marekani lazima wasitishe sera ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran

    Larijani: Watawala wa Marekani lazima wasitishe sera ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran

    Dec 01, 2019 09:15

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, 'Bunge la Iran' amesema sera ya Marekani ya mashinikizo ya juu zaidi dhidi ya Iran ni ghalati na ni lazima watawala wa Marekani wasitishe sera hiyo.

  • Mwanachama wa Republican nchini Marekani ataka Ilhan Omar anyongwe

    Mwanachama wa Republican nchini Marekani ataka Ilhan Omar anyongwe

    Dec 01, 2019 04:10

    Shirika la mtandao wa kijamii wa Twitter limelazimika kufuta akaunti za mgombea wa ubunge wa chama tawala cha Republican nchini Marekani, Danielle Stella kwa kuandika maneno ya kichochezi na kibaguzi dhidi ya Ilhan Omar, mbunge Muislamu katika Kongresi ya Marekani.

  • Wasiwasi unaoongezeka wa Wahafidhina kuhusu uingiliaji wa Donald Trump katika siasa za ndani za Uingereza

    Wasiwasi unaoongezeka wa Wahafidhina kuhusu uingiliaji wa Donald Trump katika siasa za ndani za Uingereza

    Dec 01, 2019 03:10

    Uingiliaji unaoongezeka kila siku wa Rais Donald Trump wa Marekani katika masuala ya ndani ya Uingereza hususan kwa kuzingatia kukaribia kufanyika uchaguzi wa kabla ya wakati wa Bunge la Uingereza siyo tu kwamba, umekabiliwa na ukosoaji wa chama cha upinzani cha Leba, bali filihali chama tawala cha Kihafidhina (Conservative) nacho kimeonyesha wasiwasi kilionao kuhusiana na suala hilo.

  • Trump, changamoto kubwa zaidi kwa Umoja wa Ulaya

    Trump, changamoto kubwa zaidi kwa Umoja wa Ulaya

    Nov 30, 2019 01:01

    Tokea aingie madarakani mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitekeleza siasa za upande mmoja na kuiondoa nchi hiyo katika mitakaba muhimu ya kimataifa, kinyume kabisa na matarajio na mitazamo ya Umoja wa Ulaya na hivyo kupanua pengo la tofauti kati ya pande hizo mbili za Bahari ya Atlantiki.

  • Trump akutana na Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan

    Trump akutana na Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan

    Nov 29, 2019 07:44

    Katika safari yake ya ghafla nchini Afghanistan, Rais Donald Trump wa Marekani amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Ashraf Ghani wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS