-
Macron: Siombi samahani, nakariri tena kwamba NATO imekufa ubongo
Nov 29, 2019 04:38Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa kauli yake kwamba Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) limepatwa na kifo cha ubongo ilipiga kengele ya hatari kwa nchi wanachama na kwamba hataomba radhi kwa kutoa matamshi hayo.
-
Kamanda wa zamani wa kikosi cha wanamaji wa Marekani akosoa vikali sera za Trump
Nov 28, 2019 23:05Kamanda wa jeshi la wanamaji katika Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) aliyepigwa kalamu nyekundu hivi karibuni, ameelezea uingiliaji wa Rais Donald Trump wa nchi hiyo katika hukumu za vyombo vya mahkama ya kijeshi kupitia jumbe zake za mtandao wa kijamii wa Twitter na kusema kuwa, hatua hiyo haijawahi kushuhudiwa huko nyuma.
-
China: Siasa za Marekani katika uga wa kibiashara zinabainisha malengo yake ya kishetani
Nov 28, 2019 23:02Serikali ya China imesisitiza kwamba hatua mbovu za baadhi ya viongozi wa Marekani kuihusu Beijing, zinabainisha malengo yao ya kishetani.
-
Trump alishauriana na Michel Temer kuivamia kijeshi Venezuela
Nov 28, 2019 06:55Rais wa zamani wa Brazil, Michel Temer, amesema kuwa, Rais wa Marekani alimuuliza kuhusu namna ya kuishambulia Venezuela.
-
Umri wa kuishi Wamarekani unazidi kupungua
Nov 28, 2019 01:01Matokeo ya uchunguzi mpya wa jarida la wiki la Newsweek la nchini Marekani unaonyesha kwamba umri wa kuishi Wamarekani unaendelea kupungua.
-
Raia weusi 3 wa Marekani waachiwa huru baada ya kufungwa jela bila ya hatia kwa miaka 36
Nov 27, 2019 04:41Wamarekani 3 weusi wameachiwa huru baada ya kufungwa jela kwa kipindi cha miaka 36 kwa tuhuma za kufanya mauaji.
-
Wapalestina wapambana na askari wa Israel katika maandamano ya "Siku ya Ghadhabu"
Nov 26, 2019 22:13Wapalestina mapema leo wamepigana na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika maandamano ya "Siku ya Ghadhabu" kupinga siasa za Marekani za kukingia kifua na kuhalalisha wizi wa ardhi za Palestina.
-
Safari ya Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa nchini Imarati; tangazo la kuundwa muungano wa baharini
Nov 26, 2019 22:11Ufaransa imekuwa na msimamo wa kindumakuwili kuhusiana na matukio ya hivi karibuni katika Ghuba ya Uajemi hususan masuala yanayohusiana na Iran; kwani sambamba na kuunga mkono makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, Paris inataka kuchukuliwa hatua dhidi ya kile kinachoelezwa kuwa, “hatua za Iran zinazohatarisha usalama wa eneo.”
-
Arab League yapinga rasmi msimamo wa Marekani dhidi ya Palestina kuhusu ujenzi wa vitongoji
Nov 26, 2019 04:35Mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu wametoa taarifa maalumu ya kuwaunga mkono wananchi wa Palestina dhidi ya uungaji mkono wa Marekani kwa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Hizbullah yapinga masharti ya Marekani kwa ajili ya kuundwa serikali mpya ya Lebanon
Nov 26, 2019 04:32Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imepinga masharti yaliyotolewa na Marekani kwa ajili ya kuundwa serikali mpya ya Lebanon.