-
Kupigwa kalamu nyekundu Kamanda wa Jeshi la Wanamaji wa Marekani kwa kupinga amri ya Trump
Nov 26, 2019 03:14Rais Donald Trump wa Marekani ameendelea kukiuka na kufumbia macho taratibu za kisheria ambapo mara kwa mara amekuwa akiingilia moja kwa moja masuala tofauti ya idara za serikali na za jeshi la nchi hiyo.
-
Uturuku kuufanyia majaribio mfumo wa S-400 licha ya vitisho vya US
Nov 26, 2019 00:45Jeshi la Uturuki limesema karibuni hivi litaanza kuufanyia majaribio mfumo wake wa ulinzi wa makombora wa S-400 ulionunuliwa kutoka Russia, licha ya vitisho vya kuwekewa vikwazo na Marekani.
-
Wapiganaji wa Haftar watungua drone ya Marekani 'kimakosa'
Nov 26, 2019 00:45Kundi linalojiita Jeshi la Taifa la Libya linaloongozwa na Khalifa Haftar limetangaza kuwa lilitungua ndege isiyo na rubani ya Marekani kwa bahati mbaya.
-
Bunge la Waarabu laitaka Marekani iiondoe Sudan katika orodha ya ugaidi
Nov 25, 2019 08:46Bunge la Jumuiya ya Nchi za Kiarabu limeitaka Marekani iiondoe Sudan kwenye orodha ya Washington ya eti nchi zinazounga mkono ugaidi.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa China akosoa hatua za upande mmoja za Marekani
Nov 25, 2019 04:07Waziri wa Mambo ya Nje wa China ametoa matamshi makali na kukosoa hatua na misimamo ya upande mmoja ya Marekani dhidi ya China na kueleza kuwa Washington ni chanzo kikuu cha ukosefu wa amani duniani.
-
Trump: FBI ilitaka kupindua serikali yangu
Nov 24, 2019 23:19Rais Donald Trump wa Marekani amekosoa vikali mwenendo wa uchunguzi kuhusu kampeni za uchaguzi wa rais wa mwaka 2016 na kudai kuwa, Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) lilikuwa na nia ya kupindua serikali yake.
-
Kuongezeka upinzani kwa hatua ya Marekani kuunga mkono ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni
Nov 24, 2019 23:18Uungaji mkono wa kila upande wa White House kwa siasa za kupenda kujitanua za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel hususan katika kuutambua kuwa halali ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, si tu kwamba umeibua hasira za walimwengu, bali umewafanya wabunge wa chama cha Democrat katika bunge la wawakilishi nchini Marekani kukosoa ukiukaji huo wa Washington wa sheria za kimataifa.
-
Morales afichua nafasi ya serikali ya Marekani katika mapinduzi ya Bolivia
Nov 24, 2019 04:26Rais aliyejiuzulu wa Bolovia amefichua nafasi ya serikali ya Marekani katika kujiri mapinduzi nchini humo.
-
Madai ya kijuba ya Marekani kuwa eti inakalia visima vya mafuta vya Syria kisheria
Nov 24, 2019 04:23Tokea mwaka 2014, Marekani iliingia nchini Syria kinyume cha sheria kwa kisingizio cha kupambana na kundi la ISIS (Daesh). Kinyume na madai ya Rais Donald Trump wa Marekani kuwa ataondoa askari wa Marekani walioko Syria, hivi sasa wanajeshi hao wameongeza muda wa kuwepo kwao katika nchi hiyo ya Kiarabu kwa kisingizio kingine.
-
Upinzani dhidi ya uungaji mkono wa Marekani kwa ujenzi wa vitongoji vya walowezi huko Palestina, waongezeka
Nov 23, 2019 23:44Misaada na uungaji mkono wa pande zote wa maafisa wa White House kwa siasa za utawala haramu wa Israel hususan hatua ya serikali ya Washington ya kuhalalisha ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina inaendelea kuamsha hasira za walimwengu.