Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Kuendelea mashinikizo dhidi ya mbunge mwanamke Muislamu wa Kongresi ya Marekani

    Kuendelea mashinikizo dhidi ya mbunge mwanamke Muislamu wa Kongresi ya Marekani

    Mar 04, 2019 04:07

    Katika muendelezo wa mashinikizo dhidi ya Ilhan Omar, mbunge Muislamu wa Baraza la Wawakilishi la Marekani, kwa mara nyingine, wafuasi na waungaji mkono wa Rais Donald Trump wa Marekani wamemtusi mbunge huyo kwa kubandika picha zinazomtambulisha yeye kama gaidi.

  • Bwabwaja mpya za Mike Pence dhidi ya Iran, kukaririwa tuhuma bandia

    Bwabwaja mpya za Mike Pence dhidi ya Iran, kukaririwa tuhuma bandia

    Mar 03, 2019 23:09

    Marekani katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, imeonyesha wazi misimamo yake ya kudhoofisha na kujaribu kuundoa madarakani mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Iran.

  • Polisi wa Marekani waliomuua kwa risasi 20 kijana mweusi wafutiwa mashitaka

    Polisi wa Marekani waliomuua kwa risasi 20 kijana mweusi wafutiwa mashitaka

    Mar 03, 2019 04:23

    Katika kile kinachoonekana ni mwendelezo wa ukiukaji wa haki za kiraia za msingi za Wamarekani wenye asili ya Afrika, Ofisi ya Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Serikali katika wilaya ya Sacramento jimboni California nchini Marekani imewaondolea mashitaka maafisa wa polisi waliommiminia risasi na kumuua kijana mweusi ambaye hakuwa amejizatiti kwa silaha yoyote mwaka jana.

  • Sanders: Trump ni kidhabi na rais hatari zaidi katika historia ya US

    Sanders: Trump ni kidhabi na rais hatari zaidi katika historia ya US

    Mar 03, 2019 04:15

    Seneta Bernie Sanders ambaye amezindua rasmi azma yake ya kugombea urais katika uchaguzi wa 2020 nchini Marekani amesema Donald Trump ndiye rais hatari zaidi katika historia ya hivi karibuni ya Marekani na kwamba mwanasiasa huyo wa chama cha Republican amekubuhu katika kusema urongo.

  • Syria: Marekani na Uturuki zinajua mahali alipo kiongozi wa DAESH (ISIS), Abu Bakr al-Baghdadi

    Syria: Marekani na Uturuki zinajua mahali alipo kiongozi wa DAESH (ISIS), Abu Bakr al-Baghdadi

    Mar 02, 2019 22:56

    Syria imesema, Marekani na Uturuki zina taarifa za mahali alipo kiongozi wa kundi la kigaidi la DAESH (ISIS) Ibrahim al-Samarrai, anayejulikana pia kama Abdu Bakr al-Baghdadi.

  • Mgombea Urais 2020 nchini Marekani: Washington ilikosea kujiondoa katika mapatano ya JCPOA

    Mgombea Urais 2020 nchini Marekani: Washington ilikosea kujiondoa katika mapatano ya JCPOA

    Mar 01, 2019 23:19

    Mwanachama wa Bunge la Seneti na mgombea urais katika uchaguzi wa 2020 nchini Marekani, Elizabeth Warren sambamba na kuyatetea mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA amesema kuwa, hatua ya Washington kujiondoa katika mapatano hayo haikuwa na maana.

  • Kufeli vibaya Trump katika kampeni ya kuipokonya silaha za nyuklia Korea Kaskazini

    Kufeli vibaya Trump katika kampeni ya kuipokonya silaha za nyuklia Korea Kaskazini

    Mar 01, 2019 10:26

    Licha ya majigambo na makelele mengi ya kipropaganda ya Donald Trump na madai yake ya kupata mafanikio makubwa katika kampeni yake ya kuipokonya silaha za nyuklia Korea Kaskazini, lakini rais huyo wa Marekani mwenye majivuno mengi amefeli vibaya katika suala hilo.

  • Maelfu ya watoto wahajiri wanaozuiliwa nchini Marekani wanabakwa

    Maelfu ya watoto wahajiri wanaozuiliwa nchini Marekani wanabakwa

    Feb 27, 2019 04:37

    Wizara ya Afya ya Marekani imepokea malalamiko zaidi ya 4,500 yanayohusu kudhalilishwa kingono watoto wahajiri wanaozuiliwa nchini humo.

  • Tishio la kijeshi; kuendelea hatua zilizogonga mwamba za Marekani dhidi ya Venezuela

    Tishio la kijeshi; kuendelea hatua zilizogonga mwamba za Marekani dhidi ya Venezuela

    Feb 26, 2019 23:13

    Sambamba na kuongezeka harakati za kijeshi za Marekani dhidi ya Venezuela, Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo ameituhumu Washington kwamba, inafanya njama za kuzusha mgogoro kwa shabaha ya kuanzisha vita katika eneo la Amerika ya Latini.

  • Ansarullah: Watoto na wanawake wa Yemen wanauawa kwa silaha za Marekani

    Ansarullah: Watoto na wanawake wa Yemen wanauawa kwa silaha za Marekani

    Feb 26, 2019 04:31

    Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema wanawake na watoto wa nchi hiyo maskini ya Kiarabu wanauawa kikatili kwa silaha zilizoundwa na Marekani na Wamagharibi katika hujuma zinazoongozwa na Saudi Arabia na waitifaki wake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS