-
Shambulizi la anga la Marekani ladaiwa kuua 'magaidi' 35 Somalia
Feb 26, 2019 04:13Kamandi ya Jeshi la Marekani barani Afrika (AFRICOM) imedai kuwa mashambulizi ya anga ya wanajeshi wake yamefanikiwa kuangamiza wanachama 35 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab nchini Somalia.
-
Marekani yadai siku za Maduro kuwa madarakani Venezuela zinahesabika
Feb 25, 2019 00:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameonya kuwa, Washington itaendelea kuisakama na kuishinikiza serikali ya Venezuela hadi ifahamu kuwa siku zake za kutawala zinahesabika.
-
Mbunge wa Democrats: Trump ndiye tishio kuu kwa demokrasia ya Marekani
Feb 25, 2019 00:49Mwakilishi wa chama cha upinzani cha Democrats amesema Rais Donald Trump ndiye tishio nambari moja kwa demokrasia ya Marekani.
-
Hatua mpya ya Marekani kwa ajili ya kushadidisha mashinikizo dhidi ya China
Feb 25, 2019 00:48Baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trumpa huko Marekani mwezi Januari 2017, alianza kufuata siasa kali na za uhasama dhidi ya China sambamba na kuiwekea serikali ya Beijing mashinikizo tofauti.
-
Maduro: Wananchi wa Venezuela watasimama imara kupambana na madola ya kibeberu
Feb 23, 2019 13:01Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema kuwa serikali ya Caracas kwa ushirikiano na wananchi wa nchi hiyo watasimama kidete kupambana na madola ya kibeberu na hawatorudi nyuma katika suala hilo.
-
Onyo kali na lisilo la kawaida la Rais wa Russia kwa Marekani
Feb 21, 2019 07:46Uhusiano wa Russa na Marekani umekuwa ukizorota kila siku tokea alipoingia madarakani Rais Donald Trump mnamo Januari 2017.
-
Trump: Mkutano wangu ujao na Kim Jong-un Vietnam, hautakuwa wa mwisho
Feb 21, 2019 04:14Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa, mkutano ujao kati yake na Kim Jong-un wa Korea Kaskazini mjini Hanoi, mji mkuu wa Vietnam, hautakuwa wa mwisho.
-
Jeshi la Venezuela lachukua hatua kali za kuzima njama chafu za Marekani
Feb 21, 2019 01:15Jeshi la Venezuela limechukua hatua madhubuti kwa ajili ya kuzima njama chafu za Marekani dhidi ya nchi hiyo.
-
Marekani inaipa Saudia teknolojia ya silaha za nyuklia
Feb 20, 2019 04:27Ripoti ya Bunge la Kongresi nchini Marekani imebaini kuwa utawala wa Donald Trump uko mbioni kuikabidhi Saudi Arabia teknolojia ya siri ya kuunda silaha za nyuklia.
-
Marekani yaendelea kurundika silaha Mashariki ya Kati
Feb 19, 2019 23:10Afisa mwandamizi wa Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) amesema asilimia 50 ya silaha zilizouzwa na Marekani mwaka jana 2018, zilinunuliwa katika eneo la Mashariki ya Kati.