-
Zarif: Nguvu na ushawishi wa Marekani duniani unaendelea kufifia
Dec 14, 2018 12:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jitihada za Rais Donald Trump za kuzishurutisha nchi nyingine zisifanye biashara na Tehran zinaonesha bayana namna uwezo, nguvu na ushawishi wa Marekani duniani unavyofifia na kudhoofika siku baada ya nyingine.
-
Msimamo makini wa Russia, wa kupinga JCPOA kuhusishwa na masuala mengine ya Iran
Dec 13, 2018 23:12Baada ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA mnamo mwezi Mei mwaka huu wa 2018, kila mara imekuwa ikijaribu kufanya kila njia kuzishusisha shughuli za nyuklia za Iran na masuala mengine, ili kutetea na kuhalalisha uamuzi wake wa kujitoa kwenye makubaliano hayo.
-
Miaka 40 baada ya Mapinduzi ya Kiislamu, Wamarekani bado wako kwenye ndoto
Dec 13, 2018 03:51Sambamba na kutimia miaka 40 tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, uhasama na uadui wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu umefikia kileleni.
-
Marekani yachukua mateka katika vita vyake vya kibiashara na China
Dec 12, 2018 22:58Baada ya Donald Trump kuingia madarakani kama rais wa Marekani Januari mwaka 2017, amekuwa akifuatilia sera hasimu na zenye utata kuhusu China na hivyo kuwaibulia wakuu wa China changamoto kadhaa. Moja ya sera ambazo Trump ametekeleza ni kuongeza ushuru wa forodha kwa bidhaa kutoka China na kwa njia hiyo kutangaza rasmi vita vya kibiashara dhidi ya China.
-
China yarudisha mapigo, yapiga marufuku simu za iPhone
Dec 12, 2018 09:02Kampuni ya Apple ya Marekani imepata pigo kubwa baada ya mahakama moja ya China kupiga marufuku uuzaji wa simu za iPhone nchini Uchina.
-
Rouhani: Iran inaendelea kuuza mafuta yake duniani hata baada ya vikwazo vya Marekani
Dec 11, 2018 12:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uuzaji mafuta ghafi ya petroli ya Iran katika soko la dunia unaendelea hata baada ya kuanza kutekelezwa awamu ya pili ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ambavyo vilianza Novemba Nne.
-
Nchi zaidi ya 150 zapasisha Mkataba wa Kimataifa wa Wahajiri licha ya upinzani wa Marekani
Dec 10, 2018 11:46Zaidi ya nchi 150 duniani zimeunga mkono rasmi Mkataba wa Kimataifa wa Wahajiri katika mkutano unaofanyika nchini Morocco licha ya upinzani mkubwa wa Marekani.
-
Onyo la Jean-Yves Le Drian kwa Donald Trump: Acha kuingilia mambo ya ndani ya Ufaransa
Dec 09, 2018 23:30Jean-Yves Le Drian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Ufaransa amemuonya Rais Donald Trump wa Marekani na kumtaka aache kuingilia masuala ya ndani ya Ufaransa.
-
China yaionya Canada kuhusu kumpeleka Marekani mkuu wa Huawei
Dec 09, 2018 03:51Serikali ya China imetoa onyo kali na kuitaka Canada imuachie huru mara moja mkuu wa shirika kubwa la mawasiliano la Huawei na isithubutu kumkabidhi kwa wakuu wa mahakama za Marekani.
-
Jitihada za Marekani za kuzuia maendeleo ya teknolojia ya China
Dec 08, 2018 23:22Tangu alipochukua madaraka, Rais Donald Trump wa Marekani ameisababishia China changamoto mbalimbali. China inahesabiwa kuwa nguvu kubwa zaidi ya pili ya kiuchumi duniani.