Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Msemaji wa Taliban: Askari wa Marekani hawawezi kuruhusiwa kuwepo ndani ya ardhi ya Afghanistan

    Msemaji wa Taliban: Askari wa Marekani hawawezi kuruhusiwa kuwepo ndani ya ardhi ya Afghanistan

    Apr 08, 2025 06:11

    Msemaji wa serikali ya muda ya Afghanistan amesisitiza kuwa haiwezekani askari wa Marekani waruhusiwe kwenda na kuwepo ndani ya ardhi ya nchi hiyo.

  • Araghchi: Iran, US zitafanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja Oman

    Araghchi: Iran, US zitafanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja Oman

    Apr 08, 2025 03:26

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesema Jamhuri ya Kiislamu na Marekani zitafanya "mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja ya ngazi ya juu" nchini Oman karibuni hivi.

  • Ushuru wa Trump; Masoko ya hisa ya US yazidi kuporomoka

    Ushuru wa Trump; Masoko ya hisa ya US yazidi kuporomoka

    Apr 08, 2025 03:24

    Hisa za Marekani zimeendelea kuporomoka kwa siku ya tatu mfululizo, huku mashirika na wawekezaji wakishindwa kuelewa malengo ya mipango mipya ya ushuru ya Rais wa nchi hiyo, Donald Trump.

  • Hitilafu za viongozi wa Ulaya kuhusu jibu la vita vya ushuru vya Trump

    Hitilafu za viongozi wa Ulaya kuhusu jibu la vita vya ushuru vya Trump

    Apr 07, 2025 23:08

    Tangazo la kutoza ushuru mpya la Rais wa Marekani, Donald Trump, dhidi ya nchi 180 duniani, zikiwemo nchi za Umoja wa Ulaya, limeibua hisia tofauti kutoka kwa nchi mbalimbali duniani.

  • Maandamano ya kumpinga Trump yamesababishwa na mambo mengi

    Maandamano ya kumpinga Trump yamesababishwa na mambo mengi

    Apr 07, 2025 22:57

    Huku wananchi wa Marekani wakiendelea kukasirishwa na siasa za kidikteta na uingiliaji kati za Trump, Elon Musk na serikali yao, wataalamu wanasema kuna sababu nyingi zilizopelekea mamia ya maelfu ya watu wajitokeze kote Marekani na nje ya Marekani kupinga siasa za Washington.

  • Iran: Vitisho vya US vinakinzana na wito wake wa diplomasia

    Iran: Vitisho vya US vinakinzana na wito wake wa diplomasia

    Apr 05, 2025 23:29

    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amekosoa lugha ya vitisho dhidi ya Tehran, akisisitiza kuwa nchi hii iko tayari kufanya mazungumzo lakini "katika mazingira ya usawa."

  • Trump atafakari pendekezo la mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran

    Trump atafakari pendekezo la mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran

    Apr 02, 2025 23:05

    Ikulu ya Marekani White House inatathmini pendekezo la kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran; na wakati huo huo inaongeza kiwango cha vikosi vya jeshi lake vamizi katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) ili kujiandaa kwa operesheni tarajiwa za kijeshi dhidi ya Tehran.

  • Makumi ya raia wameuawa katika hujuma za US nchini Yemen

    Makumi ya raia wameuawa katika hujuma za US nchini Yemen

    Apr 02, 2025 23:03

    Wimbi la mashambulizi ya kiuhasama ya Marekani dhidi ya Yemen kwa lengo la kuilazimisha nchi hiyo ya Kiarabu kusitisha msaada na uungaji mkono wake kwa Wapalestina wa Gaza, limepelekea makumi ya raia wa Yemen kuuawa ndani ya wiki mbili.

  • Marekani inapokosa mwamana; Trump atishia kuiteka kijeshi Greenland

    Marekani inapokosa mwamana; Trump atishia kuiteka kijeshi Greenland

    Apr 02, 2025 09:13

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa ana yakini eneo la Greenland la Denmark kwa vyovyote vile litatekwa na kukaliwa na Marekani hata kama ni kwa kutumia nguvu za kijeshi.

  • Hamas: Kila anayeweza ashike silaha kukabiliana na njama ya Trump kuhusu Gaza

    Hamas: Kila anayeweza ashike silaha kukabiliana na njama ya Trump kuhusu Gaza

    Apr 01, 2025 23:35

    Mjumbe wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema akizungumzia mpango wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuwaondoa Wapalestina Ukanda wa Gaza kwamba: "Mtu yeyote anayeweza kushika silaha anapaswa kuchukua hatua katika uwanja huu."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS