-
Mawasiliano ya Marekani na mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda yanaswa nchini Yemen
Apr 26, 2021 03:29Wizara ya Mambo ya Ndani ya Serikali ya Uokovu wa kitaifa ya Yemen imesema, imenasa mawasiliano yaliyofanywa kati ya Marekani na vinara kadhaa wa mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda katika mikoa ya Aden na Ma'rib na mashauriano yaliyofanywa baina ya pande hizo mbili.
-
Amnesty: Saudia inatumia hukumu ya kifo kama wenzo wa kuwakandamiza Waislamu wa Shia
Nov 08, 2018 05:31Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetahadharisha kuhusu hukumu ya kifo iliyopangwa kutekeleza na Saudi Arabia dhidi ya Waislamu 12 wa madhehebu ya Shia nchini humo na kusema kuwa, utawala wa kifalme wa Saudia unatumia adhabu ya kifo kama wenzo wa kukandamiza Waislamu wa madhehebu hiyo.
-
Hatimaye UN yavunja kimya chake, yaitaka Saudia iheshimu haki za binadamu
Aug 11, 2017 02:38Umoja wa Mataifa umeutaka utawala wa Aal-Saud nchini Saudi Arabia kukomesha jinai na mashambulio dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia mashariki mwa nchi hiyo.
-
Kuendelea mauaji dhidi ya Waislamu wa Kishia nchini Saudi Arabia
May 19, 2017 03:08Vyombo vya habari vimeripoti habari ya kuuawa kijana mmoja nchini Saudi Arabia kufuatia hujuma ya jeshi la utawala wa Aal Saud katika kijiji cha al-Awamiyah mashariki mwa nchi hiyo.
-
Waislamu wa Shia nchini Misri walalamikia mbinyo wa serikali dhidi yao
Jun 24, 2016 22:15Waislamu wa Shia nchi Misri wamekosoa vikali mashinikizo na mbinyo unaotekelezwa na serikali ya nchi hiyo dhidi yao.
-
Mufti wa Kisuni Iraq aikosoa vikali Saudia kwa kuwazuia mahujaji wa Iran kwenda Hija
Jun 02, 2016 23:26Mufti wa Waislamu wa Kisuni nchini Iraq, amekosoa vikali uamzi wa utawala wa Saudi Arabia wa kuwazuia raia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kushiriki ibada ya Hijja ya mwaka huu na kusema kuwa, kitendo hicho kinakinzana na sheria za dini tukufu ya Kiislamu.
-
Mufti wa Kisuni nchini Iraq aikosoa vikali Saudia kwa kuwazuia mahujaji wa Iran kwenda Hijjah
Jun 02, 2016 09:56Mufti wa Waislamu wa Kisuni nchini Iraq, amekosoa vikali uamuzi wa utawala wa Saudi Arabia wa kuwazuia raia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kushiriki ibada ya Hijja ya mwaka huu na kusema kuwa, kitendo hicho kinakinzana na sheria za dini tukufu ya Kiislamu.