-
Tume: Watu 210 wameuawa katika mapigano magharibi mwa Ethiopia
Aug 27, 2021 03:12Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Ethiopia (EHRC) imesema watu wasiopungua 210 wameuawa katika ghasia na mapigano ya kikabila yaliyojiri kwa siku kadhaa katika eneo la Oromia, magharibi mwa Ethiopia.
-
12 wauawa katika mapigano baina ya wavuvi na wachungaji Cameroon
Aug 13, 2021 13:06Kwa akali watu 12 wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika mapigano baina ya wavuvi na wachungaji wa mifugo huko kaskazini mwa Cameroon.
-
UN: Raia sita wauawa katika shambulio la waasi kaskazini mwa CAR
Aug 01, 2021 08:04Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa watu sita wameuawa katika shambulio la waasi wanaobeba silaha kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Wafaransa wawili watiwa mbaroni kwa kufanya njama za kumuua rais wa Madagascar
Jul 22, 2021 11:17Duru za habari zimeripoti kutiwa mbaroni raia wawili wa Ufaransa kwa tuhuma za kufanya njama za kutaka kumuua Rais wa Madagascar.
-
Baraza la Waislamu Canada lataka kukomeshwa chuki dhidi ya Uislamu nchini humo
Jun 08, 2021 18:46Baraza la Kitaifa la Waislamu wa Canada limetoa wito wa kutokomezwa haraka sera za chuki na kupiga vita Uislamu (Islamophobia) nchini humo baada ya jinai ya kutisha ya dereva mmoja kuwagonga watu watano wa familia moja na kuua wanne miongoni mwao.
-
Amisom kuchunguza kikamilifu madai kwamba KDF inaua raia wa Somalia
Jun 06, 2021 07:55Ujumbe wa Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) umeahidi kuchunguza madai yanayosema kwamba, Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) limewaua raia katika eneo la Gedo nchini Somalia katika shambulizi la anga dhidi ya wanamgambo wa Al-Shabaab.
-
Makumi wauawa katika shambulio la watu wenye silaha Burkina Faso
Jun 06, 2021 02:34Watu waliokuwa na silaha wasiojulikana wameshambulia kijiji kimoja kaskazini mwa Burkina Faso na kuua makumi ya raia.
-
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Jenerali Katumba amshukuru Mungu kwa kumnusuru na kifo
Jun 02, 2021 12:17Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganda Jenerali Katumba Wamala ametoa ujumbe mapema leo akimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kumuokoa na kubakia hai baada ya shambulio lililomlenga mapema jana Jumanne katika eneo la Kiasasi jijini Kampala.
-
Utambulisho wa kigaidi wa Israel wabainika zaidi baada ya tishio la kuwaua makamanda wa muqawama
May 24, 2021 10:06Benny Gantz waziri wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel ametoa tishio la wazi la kutaka kuwaua kigaidi makamanda wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, HAMAS.
-
UN yashindwa tena kulaani jinai za Israel huko Gaza, yatosheka kwa kueleza masikitiko
May 16, 2021 06:43Sambamba na mashambulizi makali na ya kinyama yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya makazi ya raia wa Ukanda wa Gaza, na mauaji ya raia katika eneo hilo, Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena umeshindwa kuchukua hatua ya maana ya kusimamisha mashambulizi hayo au hata kulaani kwa maneno hujuma na ukatili huo wa Israel.