-
UN yatahadharisha mauaji ya kimbari ya Israel yanaweza kupanuka hadi Ukingo wa Magharibi
Jan 23, 2025 02:51Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu katika ardhi za Palestina ametahadharisha kuwa mauaji ya kimbari ya Israel yanaweza kupanuka kutoka Gaza hadi Ukingo wa Magharibi, kwa kuzingatia operesheni kubwa ya kijeshi inayoendelea kufanywa na utawala huo ghasibu katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Jenin.
-
Tunisia yatoa wito wa kufikishwa mahakamani maafisa wa Israel kwa kufanya mauaji ya kimbari huko Gaza
Jan 20, 2025 11:21Tunisia imetangaza kuwa, makubaliano ya kusitisha mapigano huko Gaza hayapaswi kufunika jukumu la kuwafungulia mashtaka na kuwahukumu maafisa wa Kizayuni wa Israel kwa kosa la kufanya uhalifu wa mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Mwanahistoria wa Kizayuni naye pia athibitisha kuwa Israel inafanya mauaji ya kimbari Ghaza
Dec 10, 2024 12:04Mwanahistoria wa Israel anayetajika kimataifa Lee Mordechai ametoa hitimisho kuwa utawala huo wa Kizayuni unafanya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Ghaza, baada ya kuandaa ripoti ndefu ya kitaalamu inayobainisha orodha ya uhalifu wa kivita uliofanywa tangu uvamizi wa Israel dhidi ya eneo hilo ulipoanza Oktoba 7 mwaka jana kufuatia kufuatia Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa iliyotekelezwa na harakati ya Hamas.
-
Ujerumani; Kuanzia historia yake ya giza hadi kuunga mkono Israeli katika vita vya Gaza
Nov 28, 2024 09:01Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu cha leo cha Makala ya Wiki ambachao kinazungumzia uungaji mkono usio na kikomo wa Ujerumani na kushirikiana kwake na utawala wa Kizayuni wa Israel katika vita vya Gaza.
-
Wanamgambo wa RSF watuhumiwa kwa 'mauaji ya halaiki' katika jimbo la Gezira, Sudan
Oct 27, 2024 11:10Mashambulizi yaliyofanywa na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) huko kaskazini na mashariki mwa jimbo la Gezira nchini Sudan yametajwa na taasisi ya kieneo ya Gezira Conference kuwa ni mauaji ya halaiki.
-
Ofisi ya Rais Afrika Kusini: Tutafuatilia mashtaka yetu dhidi ya mauaji ya kimbari ya Israel
Sep 12, 2024 02:29Ofisi ya Rais wa Afrika Kusini imetangaza katika taarifa yake kwamba, itaendelea kufuatilia kesi ya mauaji ya halaiki ya utawala wa Kizayuni katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) hadi hukumu yake itakapotolewa.
-
Hali ya kutisha ya zama za mwisho huko Gaza
Aug 15, 2024 04:35Huku nchi za Magharibi zikiunga mkono jinai zinazoongezeka kila siku za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina hasa katika kuwalazimisha watu wa Gaza kuyahama makazi yao, weledi wa mambo wanasema wigo wa jinai hizo unaweza kuzikumba nchi hizo pia baada ya muda usio mrefu.
-
Ripoti: Israel imeiba zaidi ya miili 2,000 kutoka kwenye makaburi ya Gaza
Aug 06, 2024 12:16Vikosi vya jeshi la Israel vimeiba zaidi ya miili 2,000 iliyofukuliwa kutoka kwenye makaburi mbalimbali katika ukanda wa Gaza, huku ripoti kutoka Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Serikali ya Gaza zikisema baadhi ya maiti zimerudishwa baada ya majeshi ya Israel "kuvunjia heshima miili" ya marehemu hao.
-
Tovuti ya Uingereza: Utawala wa Marekani ni kipofu kiasi kwamba unamhami mtu kama Netanyahu
Jul 30, 2024 02:29"Kuporomoka kwa dola kunakuwa jambo lisiloepukika mara tu watawala wake wanapopoteza kabisa hisia za jinsi walivyokuwa wapuuzi na wa kutisha", hivi ndivyo ilivyoandika tovuti ya Uingereza ya Middle East Eye ikizungumzia fedheha kubwa ya Congress ya Marekani ya kumkaribisha na kumpigia makofi nduli na Adolf Hitler wa zama hizi, Benjamin Netanyahu, anayeendelea kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Kuomba radhi kwa kuchelewa Kanisa Katoliki
Jul 06, 2024 13:04Makala yetu ya juma hili imeangazia kuomba radhi Kanisa Katoliki kutokana na jinai zilizofanywa dhidi ya wakazi asilia wa Marekani.