-
Marekani na kukana mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza
Nov 07, 2023 23:11Zaidi ya mwezi mmoja umepita sasa tangu kuanza kwa vita vya Gaza na tangu kutekelezwa kwa operesheni ya "Kimbunga cha Al-Aqsa" huku utawala wa Kizayuni unaoendesha operesheni za ardhini katika Ukanda wa Gaza dhidi ya wapiganaji wa Hamas ukizidisha mashambulizi yake ya anga dhidi ya eneo hilo. Mashambulio hayo ya kinyama ya Israe; yameendelea kusababisha mauaji makubwa ya watu wanaodhulumiwa wa Ukanda wa Gaza.
-
Maangamizi ya kizazi Ukanda wa Ghaza na ubinadamu uliotoweka katika nchi za Magharibi
Nov 02, 2023 05:40Ni wakati mwingine wa kuwa nanyi wapenda wasikilizaji katika Makala ya Wiki hii na leo tutazungumzia maangamizi ya kizazi katika eneo la Ukanda wa Ghaza na kuporomoka kwa ubinadamu katika nchi za Magharibi.
-
"Okoa watoto wa Gaza", Wamarekani wakatiza kikao cha Kongresi cha kumsaili Blinken na Austin
Nov 01, 2023 04:45Waandamanaji jana Jumanne walikatiza kikao cha kuwahoji mawaziri wa Mambo ya Nje na Ulinzi wa Marekani katika Bunge la Kongresi kilichoitishwa kwa ajiili ya kijadili suala la kuongeza uungaji mkono na misaada kwa Israel na Ukraine. Waandamanaji hao walioingia ndani ya Kongresi walitoa nara wakitaka "kuokolewa watoto wa Gaza" na "kusitishwa mapigano mara moja" katika eneo hilo la Palestina.
-
Al-Azhar: Adui Mzayuni ni mbwa mwitu mkali aliyepatwa na kichaa cha kuua
Nov 01, 2023 04:40Taasisi ya kidini ya Al-Azhar nchini Misri imetangaza kuwa: “Adui Mzayuni amegeuka na kuwa mbwa mwitu mkali na mwenye kiu ya kuua watoto, wanawake na watu wasio na hatia, na kufurahia kula nyama zao na kunywa damu zao bila ya kizuizi chochote.
-
Majaji wa mahakama ya UN wataka mshukiwa wa mauaji ya kimbari Rwanda aachiwe huru
Aug 08, 2023 09:06Majaji wa Umoja wa Mataifa wameamuru kesi ya uhalifu wa kivita inayomkabili mshukiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda, Felicien Kabuga mwenye umri wa miaka 90 isitishwe kwa muda usiojulikana kwa sababu ana matatizo ya akili.
-
Wito wa Katibu Mkuu wa UN katika kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi nchini Rwanda
Apr 08, 2023 07:22Wakati dunia ikiadhimisha kumbukumbu ya kutisha ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi nchini Rwanda mwaka 1994, ambapo Watutsi na watu wengine waliopinga mauaji hayo waliuawa pia, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekiambia kizazi cha baada ya matukio hayo ya kutisha: “Tusisahau kamwe kilichotokea na tuhakikishe vizazi vijavyo vinayakumbuka kila wakati."
-
Manusura wa mauaji ya halaiki ya Oromia wasimulia: Watu waliuawa kama kuku
Jun 20, 2022 22:15Mwangwi wa mauaji ya halaiki yanayodaiwa kufanywa na waasi dhidi ya raia ambao wengi wao ni kutoka kabila la Amhara huko Ethiopia unaendelea kusikika huku baadhi ya manusura wakieleza jinsi mauaji hayo ya kutisha yalivyofanyika.
-
Mashirika ya Ujasusi ya Marekani yamkana Biden; yasema: Russia haijafanya mauaji ya kimbari Ukraine
Apr 16, 2022 05:57Mashirika ya kijasusi ya Marekani yamesema kuwa, hayajapata ushahidi wowote wa kuthibitisha madai ya rais wa nchi hiyo Joe Biden kuwa Russia imefanya mauaji ya kimbari nchini Ukraine.
-
Kukiri Ujerumani kwamba ilihusika na mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Namibia, ushahidi mwingine wa jinai dhidi ya binadamu za nchi za Magharibi
May 29, 2021 09:40Kwa mara ya kwanza kabisa Ujerumani imekiri kwamba, ilifanya mauaji ya kimbari dhidi watu wa Namibia katika kipindi cha ukoloni wa nchi hiyo barani Afrika.
-
Macron akiri, Ufaransa ilihusika katika mauaji ya kimbari ya Rwanda mwaka 1994
May 28, 2021 02:42Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amekiri kwamba, nchi yake ilihusika katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda.