-
Ansarullah: Uhalifu wa Israel nchini Lebanon na Palestina unafanywa kwa idhini ya Marekani
Aug 17, 2026 06:04Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah nchini Yemen imelaani mashambulizi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo ya kusini mwa Lebanon.
-
Vikosi vya Yemen vyashambulia shabaha muhimu ndani ya Uwanja wa Ndege wa Najran, Saudi Arabia
Aug 05, 2026 02:55Jeshi la Yemen limekishambulia kituo cha kimkakati ndani ya uwanja wa ndege wa Najran kusini mwa Saudi Arabia, ikiwa ni jibu kwa mashambulizi na mzingiro unaoendelea kufanywa na utawala wa Riyadh dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Ansarullah Yemen: Lobi ya Wazayuni imezuia makubaliano kati ya Marekani na Iran
Apr 12, 2026 09:15Mjumbe wa Idara ya Siasa ya harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa lobi ya utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Marekani imezuia kufikiwa makubaliano katika mazungumzo kati ya Marekani na Iran.
-
Maulamaa wa Yemen wautaka Umma wa Kiislamu kukabiliana na mashambulizi ya Wazayuni na Marekani
Dec 25, 2024 00:18Maulamaa wa Yemen wameutaka Umma wa Kiislamu kukabiliana na mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Isreal na Marekani huko Gaza, Yemen na pia waungaji mkono wa kigaidi.
-
Saleh: Hujuma dhidi ya Yemen ni uchokozi wa Mawahabi, magaidi
Jun 26, 2016 03:11Ali Abdullah Saleh, mkuu wa chama cha Kongresi ya Kitaifa nchini Yemen ambaye pia ni rais wa zamani wa nchi hiyo, amesema kuwa, hujuma za Saudia dhidi ya nchi hiyo ni uchokozi wa Kiwahabi na ugaidi.
-
Magaidi vibaraka wa Saudia washambulia Yemen
Mar 16, 2016 22:19Raia kadhaa wameripotiwa kupoteza maisha yao katika shambulio la kigaidi lililofanywa na magaidi wa Kiwahabi wanaoungwa mkono na Saudia, huko kusini mwa Yemen.
-
Makumi ya askari wa Saudia wauawa na kutiwa mbaroni Yemen
Mar 01, 2016 23:18Jeshi la Yemen limetangaza kuwa, askari wa serikali kwa kushirikiana na harakati za kujitolea za wananchi, wamefanikiwa kuwaangamiza makumi ya askari vamizi wa Saudia na kuwatia mbaroni makumi ya wengine.