-
Syria na kukaribia kufanyika mazungumzo ya Geneva
Mar 13, 2016 03:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Walid al-Muallem amekosoa matamshi yaliyotolewa na Staffan de Mistura, mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria na kusisitiza kuwa serikali ya Damascus inaendelea kuheshimu makubaliano ya usitishaji vita.
-
Wanajeshi watatu wauawa kaskazini mwa Mali
Feb 24, 2016 10:00Watu wenye silaha wamefanya shambulio katika eneo la kaskazini mwa Mali na kuua wanajeshi watatu wa nchi hiyo.