-
Saudia na Uturuki zajiandaa kutuma vikosi vya nchi kavu Syria?
Feb 13, 2016 11:57Saudi Arabia na Uturuki zimesema kuwa huenda karibuni hivi zikaanzisha mashambulizi ya nchi kavu nchini Syria eti kwa lengo la kukabiliana na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh!
-
Russia: Kutuma vikosi vamizi Syria kutachochea Vita vya Dunia
Feb 12, 2016 04:38Waziri Mkuu wa Russia ametahadharisha juu ya kutumwa vikosi vya kigeni nchini Syria na kusema kuwa hatua hiyo haitakuwa na tija nyingine ghairi ya kuchochea "Vita Vipya vya Dunia".
-
Russia: Saudia ikiingia kijeshi Syria ni sawa na tangazo la vita
Feb 05, 2016 21:51Naibu Spika wa bunge la Russia ameitahadharisha Saudi Arabia kuhusu kupeleka wanajeshi wake nchini Syria na kusema kuwa, hatua kama hiyo itachukuliwa kama tangazo la vita endapo haitapata ridhaa ya serikali ya Damascus.