-
Seneta wa Marekani afichua mpango wa Uingereza wa kufanya shambulio la kemikali Syria
Sep 10, 2018 10:22Seneta mmoja wa Marekani amefichua mpango ulioratibiwa na Uingereza kwa ajili ya kufanya shambulio bandia la silaha za kemikali huko Syria.
-
Rais al Assad: Siasa za Marekani ni za kutoa vitisho, kuweka vikwazo na kuunga mkono ugaidi
Sep 05, 2018 22:27Akizungumza na Seneta wa jimbo la Marekani huko Damascus mji mkuu wa Syria, Rais wa Syria Bashar al Assad amesema kuwa hatua ya kutekeleza siasa za vitisho, kuweka vikwazo na kuunga mkono ugaidi ni moja ya sifa kuu za Marekani.
-
Walid al Mualim: Ajenda Kuu ya kikao cha Iran, Uturuki na Russia ni kuhusu kukombolewa Idlib
Sep 03, 2018 22:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesisitiza kuwa suala kuu lilogubika kikao cha pande tatu cha viongozi wa Iran, Russia na Uturuki mjini Tehran lilikuwa kuhusiana na kukombolewa mkoa wa Idlib.
-
Radiamali ya Russia kwa njama mpya za Marekani dhidi ya Syria
Aug 29, 2018 00:05Russia imeonya kuhusu taathira za njama na hatua zozote za kijeshi zitakazochukuliwa na Marekani na waitifaki wake dhidi ya Syria.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran atembelea mji wa Halab Syria kukagua vita dhidi ya ugaidi
Aug 28, 2018 09:19Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Brigedia Jenerali Amir Hatami ametembelea mjiHalab (Aleppo) la kaskazini mwa Syria na kuwkagua mchakato wa kuwatimua magaidi katika mji huo.
-
Spika wa Bunge la Syria: Iran itakuwa pamoja na Syria katika kuikarabati nchi hiyo
Aug 27, 2018 23:02Spika wa Bunge la Syria amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama ambavyo tangu mwanzoni mwa mgogoro wa nchi hiyo ilikuwa pamoja na wananchi na serikali ya Damascus, itashiriki pia katika ukarabati wa taifa hilo.
-
Syria yalaani ripoti ya Wamagharibi kuhusu silaha za kemikali
Aug 24, 2018 03:33Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imelaani vikali taarifa ya pamoja ya Marekani, Ufaransa na Uingereza kuhusiana na tuhuma bandia dhidi ya Damascus kwamba, imetumia silaha za kemikali.
-
Bashar al-Assad alilikataa pendekezo la Saudia la kujengwa upya Syria kwa kuvunja uhusiano na Iran na Hizbullah
Aug 22, 2018 21:09Mbunge wa harakati ya Hizbullah katika bunge la Lebanon amesema, rais wa Syria hakulikubali pendekezo la Saudi Arabia la kuijenga upya nchi hiyo mkabala wa Syria kuvunja uhusiano wake na Hizbullah na Iran.
-
Mashauriano ya Lavrov na Merkel kuhusu Syria
Jul 25, 2018 22:33Tangu mwezi Disemba mwaka 2015 Russia ilituma majeshi katika nchi ya Syria kwa ajili ya kupambana na makundi ya kigaidi na vilevile kuisaidia serikali halali ya nchi hiyo.
-
Makamanda wa makundi ya kigaidi nchini Syria wakimbilia upande wa jeshi la Israel
Jul 23, 2018 22:53Sambamba na jeshi la Syria kuimarisha mzingiro dhidi ya makundi ya kigaidi kusini mwa nchi hiyo, makamanda wa makundi hayo na kupitia taa ya kijani ya utawala wa Kizayuni, wamekimbilia upande wa jeshi la Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.