Mar 18, 2017 09:37
Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyolaziwa Bibi Fatma Zahra as, binti ya Mtukufu Mtume saw. Huku tukitoa mkono wa kheri, Baraka na fanaka tuna matumaini kwamba, mtanufaika nay ale niliyokuandalieni kwa manasaba huu.