-
Mufti wa Al-Azhar: Kiwango cha dhulma ilichofikia kadhia ya Palestina hakimruhusu mtu kubaki njiapanda
Dec 24, 2025 02:39Taasisi kubwa zaidi ya Kiislamu nchini Misri ya Al-Azhar imesema, piganio la haki la Palestina limefikia kiwango cha dhulma na ukandamizwaji ambacho hakimruhusu mtu kubaki njiapanda na kudai kuwa haegemei upande wowote.
-
Albanese: Misri inaunga mkono mauaji ya halaiki ya Wapalestina
Dec 22, 2025 02:51Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa ameitaja hatua ya Misri ya kuidhinisha makubaliano ya ununuzi wa gesi kutoka kwa utawala wa Israel kuwa ni uungaji mkono wa nchi hiyo kwa mauaji ya halaiki yanayofanywa na Wazayuni huko Gaza.
-
Netanyahu atangaza kuidhinisha mauzo ya 'kihistoria' ya gesi ya dola bilioni 35 kwa Misri
Dec 19, 2025 03:24Waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu ametangaza kuwa, serikali yake imeidhinisha makubaliano makubwa ya uuzaji wa gesi asilia kwa Misri yenye thamani ya karibu dola bilioni 35, akielezea kwamba makubaliano hayo ni makubwa zaidi katika historia ya Israel kwa upande wa thamani na ujazo wa usafirishaji nje.
-
Alkhamisi, 18 Disemba, 2025
Dec 18, 2025 02:41Leo ni Alkhamisi tarehe 27 Mfunguo Tisa Jamadithani 1447 Hijria sawa na tarehe 18 Disemba 2025.
-
Kwa nini mkataba wa gesi kati ya Israel na Misri unakaribia kusambaratika?
Nov 25, 2025 10:22Hitilafu za kisiasa na kiusalama kati ya utawala ghasibu wa Israel na Misri zimechukua zimefikia katika uga wa kiuchumi, na sasa zimefikisha mkataba mkubwa zaidi wa gesi kati ya Tel Aviv na Cairo kwenye ukingo wa kusambaratika.
-
Wamisri wataka kufunguliwa tena kivuko cha mpakani na Ukanda wa Gaza
Oct 20, 2025 02:32Huku msaada wa kibinadamu unaohitajika ukisalia kuwa haba huko Gaza, waanchi wa Misri wametaka kufunguliwa tena kivuko cha mpakani cha Rafah kwa ajili ya kuingiza misaada neo la Ukanda wa Gaza.
-
Misri na vita vya Gaza; Kujaribu kufuata mkakati wa uwastani
Oct 09, 2025 03:10Kuanza vita vya Gaza baada ya operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa mnamo Oktoba 7, 2023 ulikuwa mwanzo wa mabadiliko katika sera za ndani na za kigeni za Misri.
-
Kwa nini Israel inahofia maneva ya pamoja ya baharini kati ya Misri na Uturuki?
Sep 26, 2025 09:23Kuanza tena meneva ya kijeshi kati ya Uturuki na Misri, sambamba na kupelekewa idadi kubwa ya wanajeshi wa Misri katika Peninsula ya Sinai, kumeutia wasiwasi utawala wa Kizayuni.
-
Bwawa la Renaissance; tishio kwa amani au fursa ya maendeleo?
Sep 11, 2025 07:19Bwawa la Renaissance au an-Nahdha, mradi mkubwa zaidi wa kuzalisha umeme barani Afrika, ulizinduliwa rasmi na serikali ya Ethiopia siku ya Jumanne.
-
Misri: Hatutakuwa lango la kupitishia Wapalestina wanaohamishwa kwa nguvu katika ardhi yao
Sep 06, 2025 06:44Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri imelaani matamshi ya waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu na kusisitiza kuwa Misri haitakuwa lango la kupitishia wananchi wa Palestina wanaohamishwa kwa nguvu katika ardhi yao.