Jun 18, 2020 11:57
Jumuiya ya kimataifa za kutetea haki za binadamu zimetoa taarifa kwa mnasaba wa kutimia mwaka mmoja tangu kuaga dunia rais wa zamani wa Misri, Mohammad Morsi zikisisitiza kuwa, hakuna hata mtu mmoja aliyeamini riwaya ya serikali ya Misri iliyodai Morsi alifariki dunia kwa kifo cha kawaida.