-
Misri kutumia JCPOA kuishinikiza Israel ijiunge na NPT
Feb 09, 2016 04:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa kati ya Iran na kundi la 5+1 maarufu kama JCPOA yanatoa fursa ya kipekee kwa serikali ya Cairo kuushinikiza utawala haramu wa Israel kujiunga na mkataba wa NPT unaozuia utengenezaji, usambazaji na utumiaji wa silaha za atomiki.
-
Bunge la Misri lakosolewa kwa kuunga mkono serikali ya al Sisi
Feb 08, 2016 04:47Mwanasiasa mwandamizi wa Misri amelikosoa Bunge la nchi hiyo akisema Wamisri hawana matumaini na bunge hilo kutokana na misimamo yake ya kuiunga mkono serikali ya Jenerali Abdul Fattah al Sisi.
-
UN: Somalia, Misri, Ethiopia zaongoza kwa ukeketaji
Feb 06, 2016 04:15Umoja wa Mataifa umesema utamaduni wa kuwakeketa wasichana wadogo na wanawake umeongezeka kwa kiwango kikubwa katika nchi mbali mbali duniani, licha ya kampeni za kupiga vita jambo hilo.
-
Mahakama ya Misri yafuta hukumu ya kifo dhidi ya wapinzani 149
Feb 03, 2016 10:51Mahakama ya Rufaa nchini Misri imefuta hukumu ya kifo iliyokuwa imetolewa hapo awali dhidi ya wapinzani 149 wa serikali nchini humo.