-
Mufti wa Syria amshukuru Imam Khomeini MA na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa kuwaunganisha Waislamu
Dec 05, 2017 02:46Mufti Mkuu wa Syria amesema kuwa, umoja unaoonekana leo kati ya Waislamu ni matunda ya ubunifu na kazi kubwa iliyofanywa na wanavyuoni wakubwa katika ulimwengu wa Kiislamu yaani Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pamoja na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei.
-
Mkutano wa Umoja wa Kiislamu kufanyika Tehran na kushirikisha nchi 70
Nov 28, 2017 16:34Mkutano wa 31 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu umepangwa kufanyika wiki ijayo katika mji mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Tehran kwa kuhudhuriwa na wageni 250 kutoka nchi 70 duniani.
-
Kamati za Wataalamu za Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu zafanya vikao vyake
Dec 16, 2016 15:15Kamati za wataalamu za kuchunguza masuala mbalimbali ya ulimwengu wa Kiislamu, changamoto zilizopo na njia za kuzitatua zimefanya vikao vyake leo katika siku ya pili ya Mkutano wa 30 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu hapa Tehran.
-
Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu waanza Tehran
Dec 15, 2016 08:06Mkutano wa Kimataifa wa 30 wa Umoja kati ya Waislamu umeanza mapema leo mjini Tehran kwa kaulimbiu ya udharura wa kupambana na makundi ya kitakfiri.