-
Kiongozi wa kundi la al-Qaeda kaskazini mwa Afrika auawa nchini Mali
Jun 06, 2020 03:23Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa ametangaza kuwa jeshi la nchi hiyo ya Ulaya limefanikiwa kumuua kiongozi wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda katika eneo la Maghreb kaskazini mwa Afrika (Aqim) huko nchini Mali.
-
Maelfu wakamatwa Morocco baada ya kukiuka sheria ya hali ya hatari kuhusu corona
Apr 13, 2020 22:01Watu zaidi ya 4,300 wamekamatwa nchini Morocco katika kipindi cha siku chache zilizopita baada ya kukiuka sheria ya hali ya hatari ambayo inatekelezwa ili kuzuia kuenea ugonjwa hatari wa corona au COVID-19 katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
Mgogoro baina ya Morocco na Imarati wapamba moto
Mar 12, 2020 04:35Uhusiano wa kidiplomasia baina ya Morocco na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umeingia katika mgogoro mkubwa baada ya Abu Dhabi kukataa kutuma balozi mpya mjini Rabbat, na Morocco nayo imeamua kushusha chini kabisa kiwango cha uhusiano wake wa kidiplomasia na Imarati.
-
Kesi ya kwanza ya Corona yaripotiwa DRC huku virusi hivyo vikiua Morocco
Mar 11, 2020 03:42Kesi ya kwanza ya ugonjwa wa Corona (Covid-19) imeripotiwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia, huku virusi hivyo hatarishi vikiendelea kusambaa katika maeneo mbali mbali duniani.
-
Vifaa vya tiba vya kujikinga na Corona vya magendo vyanaswa Morocco vikipelekwa Ulaya
Mar 06, 2020 08:04Vyombo vya habari vya Morocco vimeripoti kwamba, maafisa wa nchi hiyo wamenasa maelfu ya maski za masuala ya tiba zilizokuwa zikitoroshwa na kupelekwa Ulaya.
-
Morocco yatangaza kuiunga mkono serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya
Feb 03, 2020 03:25Wizara ya Mambo ya Nje ya Morocco imetoa tamko maalumu la kuitambua rasmi serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya inayoungwa mkono na jamii ya kimataifa.
-
Morocco yalalamikia kutoalikwa Rabat kwenye mkutano wa amani ya Libya
Jan 19, 2020 23:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco amelalamikia kitendo cha kutoalikwa nchi yake kushiriki mkutano wa amani ya Libya mjini Berlin, Ujerumani na akasema vigezo vinavyotumiwa kuchagua nchi kushiriki katika mkutano huo vinaibua maswali mengi.
-
Kushindwa kwa jitihada za Washington za kuanzisha uhusiano baina ya Morocco na Israel
Dec 07, 2019 04:12Tangu aliposhika madaraka ya nchi miaka kadhaa iliyopita Rais Donald Trump wa Marekani amechukua hatua ambazo hazijawahi kushuhudiwa za kuuhami na kuukingia kifua utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mfalme wa Morocco awaachia huru mamia ya wafungwa kwa mnasaba wa Maulidi
Nov 10, 2019 03:53Mfalme Muhammad wa Sita wa Morocco ametangaza msahama kwa wafungwa 300 kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mazazi ya Mtume Muhammad (SAW).
-
Wamorocco wakasirishwa na kupeperushwa bendera ya Israel nchini kwao
Sep 24, 2019 08:42Safari ya ujumbe wa utawala haramu wa Israel ukiongozwa na mmoja wa viongozi wa chama cha Likud nchini Morocco na kupeperushwa bendera ya utawala huo kusini mashariki mwa nchi hiyo, kumezua malalamiko ya Wamorocco.