-
Morocco yazima njama na hujuma ya kigaidi ya Daesh
Sep 05, 2019 07:47Wizara ya Mambo ya Ndani ya Morocco imetangaza kuwa imezima mpango wa kundi la kigaidi la Daesh nchini humo.
-
Wahariji 155 wa Kiafrika wamiminika kaskazini mwa Morocco
Aug 30, 2019 22:12Viongozi wa eneo la Ceuta linalodhibitiwa na Uhispania lililoka kaskasini mwa Morocco wametangaza kuwa kundi moja kubwa la wahajiri wa Kiafrika limeingia kwenye eneo hilo kinyume cha sheria.
-
Mfalme wa Morocco ashikilia msimamo wa kuipa Sahara Magharibi mamlaka yake ya ndani tu
Jul 30, 2019 20:48Mfalme Mohammed VI wa Morocco amesema, kutoa mamlaka ya ndani kwa Sahara Magharibi ya kujiendeshea mambo yake ndiyo njia pekee ya kutatua mgogoro wa eneo hilo.
-
Ijumaa, tarehe 12 Julai, 2019
Jul 11, 2019 21:53Leo ni Ijumaa tarehe 9 Dhulqaada 1440 Hijria sawa na Julai 12 mwaka 2019.
-
Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika lakutana Morocco
Jun 25, 2019 08:30Mkutano wa 12 wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika unaendelea mjini Skhirat nchini Morocco.
-
Wamorocco waandamana kupinga mkutano wa Bahrain wa kuangamiza kadhia ya Palestina
Jun 24, 2019 02:03Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano makubwa kupinga mkutano wa kufungua mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne wa kuangamiza kadhia ya Palestina uliopangwa kufanyika kesho na keshokutwa Jumatano katika mji mkuu wa Bahrain, Manama.
-
Zaidi ya nusu ya wanawake nchini Morocco wanakabiliwa na ukatili
May 16, 2019 02:01Uchunguzi rasmi uliotangazwa nchini Morocco unaonyesha kwamba, zaidi ya nusu ya wanawake wa nchi hiyo wanakumbwa na ukatili dhidi yao.
-
Wahajiri 16 wa Kiafrika waaga dunia katika ajali ya barabarani Morocco
Apr 28, 2019 02:44Kwa akali wahajiri 16 wanaotoka katika nchi za eneo la chini ya Jangwa la Sahara wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika eneo la Melilla, kaskazini mwa Morocco.
-
Maelfu waandamana Morocco wakitaka kuachiliwa huru wanaharakati
Apr 22, 2019 02:40Maelfu ya wananchi wa Morocco wameandamana Jumapili katika mji wa Rabat wakitaka serikali iwaachilie huru wanaharakati ambao waliongoza maandamano ya kulalamikia matatizo ya kiuchumi na kijamii katika eneo la Rif Kaskazini mwisoni mwa mwaka 2016 na 2017.
-
Mustapha al-Khalfi: Hakuna mpango wa Benjamin Netanyahu kuitembelea Morocco
Feb 22, 2019 04:35Serikali ya Morocco imekanusha taarifa za kuweko safari ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel katika nchi hiyo na kusema kuwa, habari hizo ni uvumi mtupu.