-
Mwanamke aanguka kwenye moto na kuungua wakati wa ibada India
Jun 01, 2016 13:32Mwanamke mmoja aliyekuwa katika ibada ya kupita juu ya moto nchini India aanguka katikati ya makaa ya moto na kuanza kuungua
-
Idadi ya waliokufa katika mkasa wa moto India yapindukia 100
Apr 10, 2016 07:51Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mkasa wa moto uliotokea alfajiri ya leo kusini mwa India imepindukia 100.
-
84 waaga dunia katika mkasa wa moto kusini mwa India
Apr 10, 2016 04:14Kwa akali watu 84 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa katika mkasa wa moto uliotokea mapema leo katika mji bandari wa Kollam, kusini mwa India.