-
HAMAS: Tumelikataa pendekezo la kupatiwa dola bilioni 15 tukubali muqawama upokonywe silaha
Jul 29, 2020 02:32Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amefichua kuwa, mnamo miezi miwili nyuma harakati hiyo ililikataa pendekezo la kupatiwa msaada wa fedha wa thamani ya dola bilioni 15 kupitia mpango wa Muamala wa Karne kwa sharti la kukubali muqawama wa Palestina upokonywe silaha.
-
Siku ya Quds na kuongezeka makabiliano ya Wapalestina na 'Muamala wa Karne'
May 22, 2020 09:48Katika Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu 2020, Wapalestina wameimarisha harakati zao za kupinga mpango wa kibaguzi unaojulikana kama 'Muamala wa Karne'.
-
Haniya na Abbas wasisitiza: Taifa la Palestina litakabiliana kwa umoja wake na mpango wa Marekani wa "Muamala wa Karne"
Apr 24, 2020 14:58Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS wamesisitiza kuwa taifa la Palestina litakabiliana kwa umoja wake na mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne.
-
HAMAS: Wapalestina watekeleze mkakati wa "mapambano jumuishi na ya pamoja" dhidi ya Israel
Feb 21, 2020 14:57Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imewataka Wapalestina wapambane na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel kufuatia tangazo la utawala huo haramu la kuendeleza ujenzi wa vitongoji katika eneo la Baitul Muqaddas Mashariki.
-
Maulamaa wa Kiislamu wahimiza kutimuliwa magaidi wa Kimarekani katika nchi za Kiislamu
Feb 21, 2020 07:12Maulamaa wa nchi mbalimbali za Kiislamu waliokutana nchini Yemen wamelaani jinai za Marekani katika eneo la Asia Magharibi na kuhimiza kufurushwa kikamilifu mawanajeshi magaidi wa dola hilo la kibeberu katika ulimwengu wa Kiislamu.
-
Askofu wa Kanisa Katoliki Lebanon: Mpango wa Muamala wa Karne ni namna fulani ya kutangaza vita
Feb 19, 2020 11:41Kiongozi wa Kanisa Katoliki kusini mwa Lebanon amesema kuwa, mpango wa kibaguzi wa Muamala wa Karne unakinzana wazi kabisa na amani na kuishi pamoja na kimsingi ni namna fulani ya kutangaza vita.
-
Mpango wa Muamala wa Karne, utawala wa Saudia mfuasi bubu na kipofu wa Marekani
Feb 15, 2020 04:12Msimamo uliotangazwa na maafisa wawili wa ngazi za juu wa utawala wa Saudi Arabia kuhusu Iran na mpango wa Kimarekani uliopewa jina la “Muamala wa Karne” umeonesha tena kwamba, baadhi ya tawala za Kiarabu zinashirikiana na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika utekelezaji wa mpango huo khabithi na katika kufanya mabadiliko kwenye eneo la magharibi mwa Asia.
-
Palestina yaishukuru Iran kutokana na misimamo yake chanya katika kutetea taifa hilo
Feb 11, 2020 07:35Balozi wa Palestina mjini tehran amepongeza misimamo imara na tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu haki za taifa hilo hususan msimamo wake wa kupinga mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne.
-
Wawakilishi 107 wa Kongresi ya Marekani wapinga mpango wa "Muamala wa Karne" wa Trump
Feb 09, 2020 02:37Hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuzindua mpango kwa jina la 'Muamala wa Karne' tarehe 28 Januari mwaka huu ambao umewasilishwa eti kwa ajili ya kutatua mzozo wa muda mrefu kati ya Wapalestina na utawala wa Kizayuni, umepingwa vikali ndani na nje ya Marekani.
-
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Marekani: Muqawama, njia pekee ya wananchi wa Palestina
Feb 06, 2020 01:19Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Princeton nchini Marekani amesema kuwa mpango wa Marekani na Wayuni kwa jina la Muamala wa Karne umekiuka haki za kimsingi za wananchi wa Palestina na kwamba njia pekee ya wao kuupinga ni kuendesha mapambano.