Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

mripuko

  • UN yatuma salamu za pole na rambirambi kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia mripuko wa Bandar Abbas

    UN yatuma salamu za pole na rambirambi kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia mripuko wa Bandar Abbas

    Apr 27, 2025 07:43

    Umoja wa Mataifa umetuma salamu za pole kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia mripuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Shahidi Rajaee kusini mwa Iran jana Jumamosi.

  • Zelensky: Kombora lililoua raia 12 Kiev lilikuwa na vifaa vilivyotengezwa na makampuni ya silaha ya Marekani

    Zelensky: Kombora lililoua raia 12 Kiev lilikuwa na vifaa vilivyotengezwa na makampuni ya silaha ya Marekani

    Apr 27, 2025 02:33

    Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amedai kuwa vifaa vilivyotengenezwa na makampuni ya Marekani vilipatikana kwenye kombora lililotumiwa kushambulia mji mkuu wa nchi hiyo Kyiv mapema wiki hii na kuua watu 12.

  • UNHCR yatoa wito wa kuwasaidia raia 3,000 wa Msumbiji waliokimbilia Malawi na Eswatini

    UNHCR yatoa wito wa kuwasaidia raia 3,000 wa Msumbiji waliokimbilia Malawi na Eswatini

    Jan 02, 2025 07:47

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limetoa mwito wa kuwasaidia raia wapatao 3,000 wa Msumbiji waliohama nchi yao na kukimbilia nchi jirani za Malawi na Eswatini kufuatia machafuko yaliyozuka katika nchi yao baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba mwaka jana.

  • Hizbullah yaishambulia tena Tel Aviv kwa makombora, droni zake zawa jinamizi kwa jeshi la Israel

    Hizbullah yaishambulia tena Tel Aviv kwa makombora, droni zake zawa jinamizi kwa jeshi la Israel

    Nov 09, 2024 07:12

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah imezishambulia tena kwa makombora ngome na vituo vya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji wa Tel Aviv.

  • HAMAS: Mateka watatu, akiwemo raia wa US, waliuawa katika shambulio la Israel Nuseirat

    HAMAS: Mateka watatu, akiwemo raia wa US, waliuawa katika shambulio la Israel Nuseirat

    Jun 10, 2024 08:06

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema mateka watatu waliuawa akiwemo raia wa Marekani katika shambulio la kinyama lililofanywa hivi karibuni na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye kambi ya wakimbizi wa Kipalestina ya Nuseirat huko Ghaza, lililoua pia zaidi ya raia 270 wa Kipalestina.

  • Mashambulizi ya kigaidi Afghanistan na katika eneo yanahitaji mapambano makubwa dhidi ya ugaidi

    Mashambulizi ya kigaidi Afghanistan na katika eneo yanahitaji mapambano makubwa dhidi ya ugaidi

    Jan 11, 2024 04:05

    Kabul mji mkuu wa Afghanistan Jumanne wiki hii ulikumbwa na shambulio la kigaidi; na kwa mujibu wa Khalid Zadran, msemaji wa Polisi ya Kabul, watu watatu waliuawa na wengine wanne kujeruhiwa katika mripuko wa bomu lililokuwa limetegwa kwenye gari katika mkoa wa 16 wa kiusalama mjini Kabul.

  • Idadi ya walioaga dunia katika mripuko wa lori la mafuta Liberia yaongezeka

    Idadi ya walioaga dunia katika mripuko wa lori la mafuta Liberia yaongezeka

    Dec 28, 2023 06:39

    Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mripuko wa lori la mafuta uliotokea katikati ya Liberia imeongezeka na kufikia watu 40.

  • Makumi wauawa katika mripuko wa bomu nchini Pakistan; Iran yatoa mkono wa pole

    Makumi wauawa katika mripuko wa bomu nchini Pakistan; Iran yatoa mkono wa pole

    Jul 31, 2023 03:10

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi lililotokea jana nchini Pakistan na ametoa mkono wa pole kwa wananchi na serikali ya nchi hiyo ndugu na jirani.

  • Watu kadhaa wauawa katika miripuko miwili ya mabomu iliyotokea Mogadishu, Somalia

    Watu kadhaa wauawa katika miripuko miwili ya mabomu iliyotokea Mogadishu, Somalia

    Jul 15, 2023 06:53

    Miripuko miwili ya mabomu iliyotokea Mogadishu, mji mkuu wa Somalia, imesababisha watu kadhaa kuuawa na kujeruhiwa.

  • Makumi ya Waislamu wauawa katika shambulizi lililolenga msikiti Peshawar, Pakistan

    Makumi ya Waislamu wauawa katika shambulizi lililolenga msikiti Peshawar, Pakistan

    Jan 30, 2023 12:37

    Watu wasiopungua 56 wameuawa katika shambulizi la kujilipua kwa bomu lililotokea katika msikiti wa mji wa Peshawar huko kaskazini magharibi mwa Pakistan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS