-
Milipuko miwili ya mabomu ya kutegwa garini yauwa watu tisa katikati mwa Somalia
Jan 04, 2023 12:34Milipuko miwili ya mabomu imeuwa raia wasiopungua tisa na kujeruhi wengine kadhaa katikati ya Somalia.
-
60 wauawa, 30 wajeruhiwa katika mripuko wa kigaidi ndani ya msikiti Kunduz, Afghanistan
Jun 18, 2022 06:32Watu wasiopungua 60 wameuawa na wengine zaidi ya 30 wamejeruhiwa katika shambulio la kigaidi lililofanywa ndani ya msikiti mmoja wa Waislamu wa Kisuni mkoani Kunduz nchini Afghanistan.
-
Milipuko yaripotiwa karibu na kambi ya askari vamizi wa Marekani huko Syria
May 01, 2022 09:22Milipuko kadhaa imeripotiwa karibu na kambi kubwa zaidi ya wanajeshi vamizi wa Marekani huko kaskazini mashariki mwa Syria.
-
Watu zaidi ya 27 wauawa katika hujuma ya kigaidi Kabul, Afghanistan
Apr 19, 2022 12:13Wanafunzi zaidi ya 27 wameuawa kufuatia hujuma ya kigaidi katika shule moja ya wavulana katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul Jumanne.
-
Yemen yalaani shambulio la kigaidi lililoua Waislamu waliokuwa wakisali Sala ya Ijumaa, Pakistan
Mar 06, 2022 04:21Wizara ya Mambo ya Nje serikali ya uwokovu wa kitaifa ya Yemen imelaani shambulio la kigaidi lililolenga Waislamu waliokuwa wakisali ndani ya msikiti mmoja wa mji wa Peshawar, kaskazini-magharibi mwa Pakistan.
-
Jumatano, Machi 2, 2022
Mar 02, 2022 02:19Leo ni Jumatano tarehe 28 Rajab 1443 Hijria sawa na tarehe Pili Machi 2022 Milaadia.
-
Sauti ya mlipuko yasikika Baghdad mji mkuu wa Iraq
Jan 24, 2022 08:17Duru za habari zimearifu kuwa sauti ya mlipuko imesikika mapema leo magharibi mwa Baghdad mji mkuu wa Iraq.
-
Utawala wa Kizayuni wathibitisha kutokea miripuko mitatu Tel Aviv na katika bandari ya Yafa
Jan 01, 2022 07:55Duru za Kiebrania zimeripoti kuwa milio ya miripuko kadhaa imesikika katika mji mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Tel Aviv na bandari ya Yafa, katika ardhi hizo za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Watu watano waaga dunia katika mlipuko wa bomu karibu na shule huko Mogadishu
Nov 25, 2021 08:15Watu watano wameuawa na wengine zaidi ya 12 wamejeruhiwa hii leo katika mlipuko wa bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari karibu na shule moja katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Kwa akali watu 15 wauawa katika milipuko miwili ya mabomu nchini Somalia
Aug 11, 2021 07:41Kwa akali watu 15 wanaripotiwa kuuawa nchini Somalia na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi la milipuko miwili ya mabomu katika eneo moja katikati mwa nchi hiyo.