-
Kwa akali watu 15 wauawa katika milipuko miwili ya mabomu nchini Somalia
Aug 11, 2021 07:41Kwa akali watu 15 wanaripotiwa kuuawa nchini Somalia na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi la milipuko miwili ya mabomu katika eneo moja katikati mwa nchi hiyo.
-
13 wapoteza maisha Kenya baada la lori la petroli kulipuka
Jul 18, 2021 14:17Watu 13 wamepoteza maisha na wengine kadhaa wamejeruhiwa wakati lori la mafuta lilipoanguka na kuripuka, magharibi mwa Kenya.
-
Moto waua watu 55 katika hospitali ya wagonjwa wa corona mjini Baghdad, Iraq
Apr 25, 2021 03:22Watu wasiopungua 55 wameaga dunia katika ajali ya moto iliyosababishwa na kuripuka mitungi ya oksijini kwenye hospitali moja ya wagonjwa wa corona katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
-
Israel yaishambulia Syria baada ya hujuma karibu na kituo cha nyuklia cha Dimona
Apr 22, 2021 11:12Jeshi la Anga la Syria limetungua makombora ya utawala haramu wa Israel ambayo yalikuwa yamelenga eneo moja la Damascus.
-
AU yasikitishwa na miripuko ya E/Guinea, walioaga dunia wakaribia 100
Mar 09, 2021 03:28Idadi ya watu waliopoteza maisha katika miripuko kadhaa iliyotokea kwenye kambi moja ya kijeshi huko nchini Equatorial Guinea imeongezeka na kufikia watu 98.
-
Watu wasiopungua 20 wauawa, 30 wajeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea Mogadishu, Somalia
Mar 06, 2021 03:33Watu wasiopungua 20 wameuawa na wengine 30 wamejeruhiwa katika shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu lililotegwa garini uliotokea nje ya mkahawa mmoja ulioko karibu na bandari katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Januari 21; siku ya umwagaji mkubwa wa damu katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad
Jan 23, 2021 03:17Miripuko miwili ya mabomu iliyotokea siku ya Alkhamisi tarehe 21 Januari katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad imeua watu 32 na kujeruhi wengine 110.
-
Miripuko Iraq, muungano wa "Daulat al Qanun" wataka kuangaliwa upya mikakati ya ulinzi Iraq
Jan 22, 2021 03:55Muungano wa "Daulat al Qanun" umelaani vikali miripuko ya kigaidi iliyotokea jana katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad na kutaka kuangaliwa upya mipango na mikakati ya kulinda usalama wa maeneo yote ya nchi hiyo.
-
Mripuko waua watu 7 katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu
Jan 08, 2021 02:43Watu wasiopungua 7 wameuawa katika mripuko wa bomu uliotokea katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Wanajeshi kadhaa wa Misri wauawa na kujeruhiwa kaskazini mwa nchi
Jan 02, 2021 07:23Wanajeshi wasiopungua wanane wa Misri wameuawa na kujeruhiwa baada ya gari lao kukanyaga bomu katika mkoa wa Sinai Kaskazini.