-
Mripuko ndani ya msikiti waua watu wawili na kujeruhi 15 nchini Somalia
Mar 31, 2016 23:52Watu wawili wameuawa na wengine 15 wamejeruhiwa wakati ulipotokea mripuko ndani ya msikiti katika mji wa Beledweyne mkoani Hiiraan katikati mwa Somalia hapo jana.
-
Shambulizi dhidi ya msikiti Nigeria laendelea kulaaniwa
Mar 18, 2016 11:12Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti nchini Nigeria na kuua watu 25.