Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Msikiti wa al Aqsa

  • Wapalestina watolewa mwito wa kumiminika Msikiti wa Al Aqsa kukabiliana na njama ya wazayuni

    Wapalestina watolewa mwito wa kumiminika Msikiti wa Al Aqsa kukabiliana na njama ya wazayuni

    Jun 04, 2022 07:35

    Makundi mbalimbali ya Kipalestina yamewatolea mwito Wapalestina kukusanyika mnamo siku zijazo katika msikiti wa Al Aqsa kukabiliana na njama nyingine ya walowezi wa kizayuni.

  • Wazayuni wakivamia tena Kibla cha Kwanza cha Waislamu, jamii ya kimataifa kimya!

    Wazayuni wakivamia tena Kibla cha Kwanza cha Waislamu, jamii ya kimataifa kimya!

    Jun 03, 2022 06:12

    Licha ya kwamba taasisi mbalimbali za kimataifa zimetoa tangazo rasmi la kusisitiza kuwa Wazayuni hawahusiki kivyovyote vile na maeneo matakatifu ya Wapalestina ukiwemo Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu, lakini kila leo Wazayuni hao wanauvamia Msikiti huo na jamii ya kimataifa imekaa kimya ikiangalia kwa macho tu.

  • Khatibu wa Msikiti nwa al-Aqswa:

    Khatibu wa Msikiti nwa al-Aqswa: "Maandamano ya Bendera" katu hayataingia Masjidul-Aqswa

    May 28, 2022 22:55

    Khatibu wa Masjidul-Aqswa amesema kuwa, uamuzi wa Wazayuni wa kufanya "Maandamano ya Bendera" ni hatua ya kichochezi na amesisitiza juu ya udharura wa kuchukuliwa hatua ya kuwazuia Wazayuni hao kuingia katika msikiti matakatifu wa al-Aqswa.

  • Walowezi wa Kizayuni waendelea kuuhujumu Msikiti wa Al Aqswa

    Walowezi wa Kizayuni waendelea kuuhujumu Msikiti wa Al Aqswa

    May 23, 2022 05:13

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.

  • Khalid Mash'al: Palestina haitaruhusu kutekelezwa njama za kuiyahudisha Masjdul-Aqswa

    Khalid Mash'al: Palestina haitaruhusu kutekelezwa njama za kuiyahudisha Masjdul-Aqswa

    May 18, 2022 03:17

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nje ya nchi amesisitiza kuwa, Msikiti wa al-Aqswa ni eneo la kidini na ni la Kiislamu kikamilifu na kwamba, wananchi wa Palestina hawataruhusu kutekelezwa njama chafu za kuliyahudisha eneo hilo takatifu.

  • Israel yampiga marufuku kwa miezi minne Khatibu wa Msikiti wa al Aqsa  ; asema sitakaa kimya

    Israel yampiga marufuku kwa miezi minne Khatibu wa Msikiti wa al Aqsa ; asema sitakaa kimya

    May 16, 2022 03:14

    Utawala wa Kizayuni umempiga marufuku kwa miezi minne Khatibu wa Msikiti wa al Aqsa Sheikh Ikrima Sabri kutokanyaga katika eneo la msikiti huo kutokana na kile ulichokitaja kuwa hatua za Sheikh Sabri za kuuteteta Msikiti Mtukufu wa al Aqsa kibla cha kwanza cha Waislamu.

  • Balozi wa Palestina London aitaka Magharibi kukomesha unafiki

    Balozi wa Palestina London aitaka Magharibi kukomesha unafiki

    May 04, 2022 21:51

    Mwakilishi wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina nchini Uingereza ameashiria kimya cha nchi za Magharibi mbele ya vitendo vya kikatili vinavyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika Msikiti wa Al-Aqsa na kueleza kuwa, Palestina itakombolewa kutokana na uungaji mkono mkubwa wa watu huru duniani.

  • HAMAS: Operesheni ya Ari'el ni kuwazindua Wazayuni wasivuke mstari mwekundu

    HAMAS: Operesheni ya Ari'el ni kuwazindua Wazayuni wasivuke mstari mwekundu

    May 04, 2022 07:22

    Kiongozi mmoja wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa Wapalestina na kwamba Wazayuni hawapaswi kuuvuuka.

  • OIC: Mji wa Quds na Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa Umma wa Kiislamu

    OIC: Mji wa Quds na Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa Umma wa Kiislamu

    Apr 26, 2022 03:14

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesisitiza kuwa, mji mtakatifu wa Baytul Muqaddas pamoja na Msikiti wa al Aqsa ni mstari mwekundu kwa Umma wa Kiislamu na amani na utulivu hauwezi kupatikana bila ya kukombolewa maeneo hayo matakatifu kutoka kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni.

  • Msikiti wa Al Aqsa, utambulisho wa kihistoria na kidini wa Palestina

    Msikiti wa Al Aqsa, utambulisho wa kihistoria na kidini wa Palestina

    Apr 24, 2022 03:56

    Karibu Wapalestina 150,000 walishiriki katika Sala ya Ijumaa iliyopita iliyosaliwa katika Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS