-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa
Jul 25, 2019 21:04Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
OIC yalaani hatua ya Israel ya kuchimba njia ya chini ya ardhi Aqsa
Jul 04, 2019 09:17Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeukodoa vikali utawala haramu wa Israel kwa kuchimba njia ya chini ya ardhi inayopitia chini ya Msikiti wa al Aqsa mashariki mwa mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Wazayuni hao.
-
Utawala wa Israel wakereka baada ya rais wa Chile kuutembelea Msikiti wa Al-Aqsa
Jun 27, 2019 03:36Utawala wa Kizayuni wa Israel umekerwa na hatua ya Rais Sebastián Piñera wa Chile akishirikiana na Idara ya Wakfu ya Kiislamu ya Quds na viongozi wa ngazi ya juu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina, kuzuru Msikiti wa Al-Aqsa, kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Ijumaa tarehe 7 Juni 2019
Jun 06, 2019 22:40Leo ni Ijumaa tarehe 7 Juni mwaka 2019.
-
Qatar: Kuuvamia Msikiti wa al Aqsa ni kuchochea hisia za Waislamu duniani
Jun 04, 2019 01:57Qatar imelaani jinai ya mamia ya walowezi wa Kizayuni ya kuuvamia Msikiti wa al Aqsa na kuwajeruhi Waislamu kadhaa waliokuwa wanasali msikitini humo kwa kushirikiana na wanajeshi katili wa Israel.
-
Hamas walaani uvamizi wa wanajeshi wa Israel ndani ya Msikiti wa al Aqsa + Video
Jun 02, 2019 06:29Mjumbe mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani kitendo cha wanajeshi na walowezi wa Kizayuni cha kuvamia na kuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa na matukufu mengine ya Kiislamu.
-
Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wauhujumu Msikiti wa Al Aqsa wakati wa Sala
May 20, 2019 05:42Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Waislamu Wapalestina waliokuwa wakiswali katika Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem).
-
Waziri aongoza walowezi wa Kizayuni kuuhujumu Msikiti wa al Aqsa mjini Quds
Apr 12, 2019 00:01Waziri mmoja wa utawala wa Kizayuni wa Israel ameliongoza genge la walowezi wa Kizayuni katika kushambulia na kuvunjia heshima Msikiti mtukufu wa al-Aqsa na kibla cha kwanza cha Waislamu wote duniani.
-
Wananchi wa Jordan waandamana kuunga mkono Kibla cha Kwanza cha Waislamu
Mar 16, 2019 04:26Wananchi wa Jordan wamefanya maandamano makubwa ya kuiunga mkono Masjid al Aqswa, Kibla cha Kwanza cha Waislamu kinachokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Matakwa matatu ya Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan dhidi ya Israel
Mar 15, 2019 03:51Kamisheni ya Masuala ya Palestina ya Bunge la Jordan imetoa wito wa kufukuzwa balozi wa Israel mjini Amman, kurejeshwa nyumbani balozi wa Jordan huko katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kufutwa mkataba wa gesi na Israel.