Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Msikiti wa al Aqsa

  • Wazayuni waanzisha vita vya kudumu vya kukiteka Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    Wazayuni waanzisha vita vya kudumu vya kukiteka Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    Feb 20, 2019 02:53

    Mkuu wa Baraza la Taifa la Palestina ameashiria hatua za hivi karibuni za Wazayuni katika Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu na kusema kuwa, utawala wa Kizayuni umeanzisha vita vya kudumu kwa shabaha ya kuugawa msikiti huo baina ya Waislamu na Wazayuni kwa mujibu wa wakati na eneo.

  • Makumi ya Walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa

    Makumi ya Walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa

    Feb 08, 2019 14:52

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.

  • Onyo la Wapalestina kwa Israel kuhusiana na kuuvunjia heshima msikiti wa al-Aqswa

    Onyo la Wapalestina kwa Israel kuhusiana na kuuvunjia heshima msikiti wa al-Aqswa

    Jan 16, 2019 04:27

    Hujuma na uvamizi wa Wazayuni dhidi ya maeneo matakatifu ya Kiislamu umeshika kasi katika miezi ya hivi karibuni kwa baraka za viongozi wa utawala ghasibu wa Israel.

  • Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa

    Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa

    Jan 11, 2019 04:13

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia tena Msikiti wa al-Aqswa wakisaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu na kibla cha kwanza cha Waislamu.

  • Wazayuni waendelea kuchimba mashimo kusini mwa Msikiti wa Al-Aqswa

    Wazayuni waendelea kuchimba mashimo kusini mwa Msikiti wa Al-Aqswa

    Dec 16, 2018 02:44

    Wazayuni wamekithirisha njama zao dhidi ya msikiti wa al-Aqswa kwa kuendelea kuchimba mashimo na njia za chini kwa chini kuelekea msikiti huo mtakatifu.

  • Mamlaka ya Ndani ya Palestina yatoa indhari ya kuvamiwa maeneo ya kandokando ya Msikiti wa Al-Aqsa

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina yatoa indhari ya kuvamiwa maeneo ya kandokando ya Msikiti wa Al-Aqsa

    Nov 22, 2018 08:22

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina imetahadharisha kuhusu njama inayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuyavamia na kuyakalia kikamilifu maeneo ya kandokando ya msikiti wa Al-Aqsa.

  • Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqswa

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqswa

    Oct 31, 2018 08:16

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wamevamia Msikiti wa al-Aqswa wakiwa wanasaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.

  • Kuugawanya kimatumizi Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa kwa mahali na wakati kwa lengo la kuuyahudisha

    Kuugawanya kimatumizi Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa kwa mahali na wakati kwa lengo la kuuyahudisha

    Oct 25, 2018 08:17

    Wazayuni wenye misimamo ya kufurutu mpaka wanaounga mkono njama za kuubomoa msikiti mtukufu wa Al-Asqa na kujenga mahali pake hekalu bandia la Kiyahudi wamependekeza mpango hatari na wa ubaguzi wa kimbari kwa madhumuni ya kupagawanya mahali hapo patakatifu.

  • 'Israel inahaha mbele ya uwezo mkubwa wa kijeshi wa Hizbullah ya Lebanon'

    'Israel inahaha mbele ya uwezo mkubwa wa kijeshi wa Hizbullah ya Lebanon'

    Oct 20, 2018 01:09

    Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Kidemokrasia kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina amesema kuwa, utawala haramu wa Kizayuni unahaha hivi sasa kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi wa Hizbullah ya Lebanon na hauthubutu kuanzisha vita vingine.

  • Ijumaa, Septemba 28, 2018

    Ijumaa, Septemba 28, 2018

    Sep 28, 2018 02:22

    Leo ni Ijumaa tarehe 18 Mfunguo Nne Muharram 1440 Hijria sawa na Septemba 28, 2018 Milaadia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS