Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Msikiti wa al Aqsa

  • Hamas yaionya Israel isiendelee kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    Hamas yaionya Israel isiendelee kukivunjia heshima Kibla cha Kwanza cha Waislamu

    Sep 14, 2018 03:33

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeuonya utawala wa Kizayuni wa Israel juu ya hatari ya kuendelea kuuvinjia heshima Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu na kusisitiza kuwa utawala huo dhalimu ndio utakaobeba dhima ya lolote litakalotokea.

  • Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqswa

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia Msikiti wa al-Aqswa

    Aug 27, 2018 14:53

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni leo wamevamia Msikiti wa al-Aqswa wakiwa wanasaidiwa na askari wa jeshi la utawala haramu wa Israel na kufanya vitendo vya kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.

  • Idara ya Waqfu ya Baitul Muqaddas: Msikiti wa Al-Aqsa ni sehemu ya itikadi ya kila Muislamu

    Idara ya Waqfu ya Baitul Muqaddas: Msikiti wa Al-Aqsa ni sehemu ya itikadi ya kila Muislamu

    Aug 26, 2018 14:53

    Idara ya Waqfu ya Quds na masuala ya msikiti wa Al-Aqsa imesisitiza kuwa msikiti huo mtukufu ni sehemu ya asili ya itikadi ya kila Muislamu na kwa hivyo hauwezi kugawanywa wala kuwashirikisha watu wengine.

  • OIC yasisitiza kuhifadhiwa hali ya kihistoria ya Masjidul al-Aqswa

    OIC yasisitiza kuhifadhiwa hali ya kihistoria ya Masjidul al-Aqswa

    Aug 22, 2018 03:41

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imesisitiza juu ya udharura wa kulindwa na kuhifadhiwa hali ya kihistoria ya Msikiti wa al-Aqswa licha ya kuendelea hujuma, uvamizi na jinai za utawala ghasibu wa Israel dhidi ya msikiti huo mtakatifu.

  • Jumanne tarehe 21 Agosti, 2018

    Jumanne tarehe 21 Agosti, 2018

    Aug 21, 2018 02:53

    Leo ni tarehe 9 Dhulhija 1439 Hijria sawa na Agosti 21, 2018.

  • Hamas: Mapambano na Israel yataendelea hadi Palestina ikombolewe kikamilifu

    Hamas: Mapambano na Israel yataendelea hadi Palestina ikombolewe kikamilifu

    Aug 20, 2018 14:10

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imetangaza kuwa, falsafa ya mapambano na utawala wa Kizayuni wa Israel imejengeka katika msingi wa kufikia lengo la ukombozi wa ardhi za Palestina na kuwatimua Wazayuni maghasibu kutoka ardhi takatifu za Kiislamu na Kikristo hasa mji wa Quds na Msikiti wa Al Aqsa.

  • Mawe ya ukuta wa msikiti wa al-Aqswa yaporomoka kutokana na mashimo ya Wazayuni

    Mawe ya ukuta wa msikiti wa al-Aqswa yaporomoka kutokana na mashimo ya Wazayuni

    Jul 24, 2018 08:02

    Mashimo yanayoendelea kuchimbwa na utawala wa Kizayuni katika eneo la magharibi mwa ukuta wa msikiti wa al-Aqsa, yamepelekea kuporomoka kwa mawe ya ukuta huo.

  • Walowezi 1000 wa Kizayuni wakishambulia tena kibla cha kwanza cha Waislamu

    Walowezi 1000 wa Kizayuni wakishambulia tena kibla cha kwanza cha Waislamu

    Jul 22, 2018 13:57

    Kwa mara nyingine tena walowezi zaidi ya 1000 wa Kizayuni wameuhujumu Msikiti wa al Aqsa ulioko katika mji mtakatifu wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.

  • Mufti wa Quds atahadharisdha kuhusu hali mbaya ya Msikiti wa Quds

    Mufti wa Quds atahadharisdha kuhusu hali mbaya ya Msikiti wa Quds

    Jul 19, 2018 16:59

    Mufti wa Msikiti mtakatifu wa Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya msikiti huo ambacho ndicho kibla cha kwanza cha Waislamu kote duniani.

  • Wimbi jipya la hujuma za Wazayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqswa

    Wimbi jipya la hujuma za Wazayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqswa

    Jun 27, 2018 02:12

    Duru za habari zimeripoti kuhusu kushadidi hujuma za Wazayuni dhidi ya msikiti wa al-Aqswa katika siku za hivi karibuni sambamba na harakati za Marekani za kutaka kutekeleza mpango wake wenye njama kubwa unaojuliakana kama "Muamala wa Karne".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS