-
Mkuu wa Kamati Kuu ya Kiislamu ya Palestina atahadharisha kuhusiana na uvamizi wa Israel dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
May 11, 2016 23:39Mkuu wa Kamati Kuu ya Kiislamu ya Palestina ametahadharisha kuhusiana na kukithiri hujuma na uvamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa.
-
Wapalestina walaani Israel kumkamata Imam wa Masjid Al Aqsa
Apr 09, 2016 22:35Wapalestina wameendelea kulaani vikali hatua ya wanajeshi wa Israel kumkamata Imam na Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Wazayuni waendelea kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa
Feb 17, 2016 05:08Walowezi wa Kizayuni na askari wa utawala ghasibu wa Israel wameendelea kuushambulia na kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.