-
Msikiti wa al-Aqswa ni mstari mwekundu wa taifa la Palestina
Sep 11, 2023 14:01Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS huko Quds iinayokaliwa kwa mabavu ameashiria vitendo vya Wazayuni vya kulivunjia heshima eneo hilo takatifu na kusisitiza kwamba, msikiti wa al-Aqswa utaendelea kuwa mstari mwekundu wa taifa la Palestina.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena kibla cha kwanza cha Waislamu
Sep 11, 2023 06:58Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima
Aug 31, 2023 02:29Katika hatua zao zisizokoma, makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia tena msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.
-
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima
Aug 29, 2023 02:46Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.
-
Walowezi wa Kizayuni na mbunge wa zamani wa Israel wauvunjia heshima msikiti wa al-Aqswa
Aug 24, 2023 02:34Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wakiwa pamoja na Mbunge wa zamani wa Bunge la Israel wamevamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu lenye historia kongwe.
-
OIC yatoa wito wa kulindwa Msikiti wa Al-Aqsa
Aug 23, 2023 02:36Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeisitiza umuhimu wa kulindwa hadhi ya kihistoria na kisheria ya maeneo matakatifu ya Kiislamu na Kikristo huko al-Quds (Jerusalem).
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima
Aug 22, 2023 10:35Kwa mara nyingine tena walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu lenye historia kongwe.
-
Kwa mara nyingine walowezi wa Kizayuni wenye chuki na Uislamu wavamia msikiti wa al-Aqswa
Aug 10, 2023 13:28Kwa mara nyingine tena walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wameuvamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu.
-
Walowezi wa Kizayuni wenye kufurutu ada wavamia tena msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
Aug 10, 2023 02:22Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu mpaka kwa mara nyingine tena wameuvamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu lenye historia kongwe.
-
Wazayuni wauvunjia heshima tena Msikiti wa al-Aqsa
Aug 02, 2023 10:40Katika hatua ambayo imekuwa ni ya kawaida katika miezi ya hivi karibuni, Wazayuni kwa mara nyingine tena wameingia na kuuvunjia heshima Msikiti wa al-Aqsa kwa uungaji mkono wa jeshi la utawala ghasibu wa Isreal.