-
Baada ya miaka 56 askari wa Kizayuni azirejesha funguo alizoiba za Msikiti wa Al Aqsa
May 20, 2023 22:45Mwanajeshi wa zamani wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amezirejesha funguo za Babul-Magharibah, moja ya milango ya ukuta wa magharibi wa Msikiti wa Al-Aqsa, tangu alipoziiba miaka 56 iliyopita katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na akaeleza: "hivi ndivyo Israel inapaswa kuwafanyia Wapalestina".
-
OIC na nchi Kiislamu zalaani hujuma ya Wazayuni dhidi ya al Aqsa
May 19, 2023 06:58Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na nchi za Kiislamu zimelaani hujuma iliyofanywa na Wazayuni wakiongozwa na mawaziri na wabunge kadhaa wa utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa katika kile kilichopewa jina la "siku ya bendera".
-
Mawaziri wa utawala wa Kizayuni watoa wito wa kushambuliwa Msikiti wa Al-Aqsa
May 17, 2023 21:38Vyanzo vya habari vimeripoti kuwa baadhi ya mawaziri na wajumbe wa bunge la utawala haramu wa Israel, Knesset, wametoa wito wa kushambuliwa Msikiti wa Al-Aqsa katika siku ya maandamano ya bendera.
-
Wanajeshi wa Israel washambulia Hospitali Bait Laham na Msikiti wa Al-Aqsa
May 01, 2023 03:53Wanajeshi wa utawala haramu wa Israel wameshambulia hospitali moja mjini Bait Laham mapema leo Jumatatu na kurusha mabomu ya kutoa machozi ndani ya hospitali hiyo.
-
OIC yaalani vikali hujuma za Wazayuni katika Msikiti wa al Aqsa
Apr 24, 2023 08:58Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani vikali mashambulizi ya Wazayuni katika eneo la Babul Rahma katika Msikiti Mtakatifu wa al Aqsa.
-
Nasser Kanaani Chafi: Ukombozi wa Quds tukufu umekaribia
Apr 22, 2023 22:01Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ukombozi wa mji mtakatifu wa Quds umekaribia na kwamba, muda si mrefu eneo hilo takatifu litakombolewa na kuondoka katika udhibiti wa utawala ghasibu wa Israel.
-
Hamas: Siku ya Quds inaukumbusha Umma majukumu yake ya kukomboa Msikiti wa al Aqsa
Apr 14, 2023 08:14Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa taarifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds na kutaka kuweko harakati ya kimataifa ili kuunga mkono muqawama na mapambano ya wananchi wa Palestina na kuhitimisha uvamizi na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.
-
Qatar: Kuwaunga mkono Wapalestina ni kipaumbele katika sera zetu za nje
Apr 14, 2023 03:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema, kuwaunga mkono wananchi wa Palestina ni kipaumbele cha kwanza cha sera za nje za nchi hiyo.
-
Damascus: Shambulio dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa linaonyesha sura ya apartheid ya utawala wa Israel
Apr 13, 2023 04:39Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imetangaza kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya walowezi wa Kizayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa ni matokeo ya ubaguzi wa rangi na tabia ya kigaidi ya utawala huo.
-
Netanyahu aamuru Mayahudi wasiingie Msikiti wa Al-Aqsa mpaka mwisho wa Ramadhani
Apr 12, 2023 09:18Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ametangaza kuwa kwa ushauri wa maafisa usalama wa Israel, Mayahudi wasiende katika Msikiti wa Al-Aqsa hadi mwisho wa mwezi wa Ramadhani.