Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Msikiti wa al Aqsa

  • HAMAS: Damu za mashahidi zitalinda utambulisho wa msikiti wa al-Aqswa

    HAMAS: Damu za mashahidi zitalinda utambulisho wa msikiti wa al-Aqswa

    Apr 01, 2023 09:22

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, damu mashahidi wa Palestina italinda utambulisho wa Kipalestina, Kiarabu na Kiislamu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa.

  • OIC na Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu zalaani kuvunjiwa heshima msikiti wa al-Aqswa

    OIC na Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu zalaani kuvunjiwa heshima msikiti wa al-Aqswa

    Mar 30, 2023 07:43

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu zimelaani vikali hujuma za walowezi wa Kizayuni dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Askari wa Kizayuni wavamia al-Aqsa na kuwafukuza Waislamu

    Askari wa Kizayuni wavamia al-Aqsa na kuwafukuza Waislamu

    Mar 27, 2023 11:31

    Waumini wa Kiislamu wametimuliwa katika Msikiti wa al-Aqsa baada ya Wazayuni wenye misimamo mikali wakiwa wameandamana na askari wa utawala haramu wa Israel kulivamia eneo hilo tukufu la Waislamu.

  • HAMAS: Mapambano dhidi ya Israel yataendelea mpaka Aqsa ikombolewe

    HAMAS: Mapambano dhidi ya Israel yataendelea mpaka Aqsa ikombolewe

    Mar 25, 2023 07:19

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema mapambano yao kwa kushirikiana na makundi mengine ya muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel yataendelea hadi pale Msikiti wa al-Aqsa utakapokombolewa.

  • Walowezi wa Kizayuni kwa mara nyingine wavamia msikiti wa al-Aqswa

    Walowezi wa Kizayuni kwa mara nyingine wavamia msikiti wa al-Aqswa

    Mar 09, 2023 02:36

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo mikkali wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.

  • Walowezi wa Kizayuni waendeleza vitendo vya kuuvamia msikiti wa al-Aqswa

    Walowezi wa Kizayuni waendeleza vitendo vya kuuvamia msikiti wa al-Aqswa

    Mar 06, 2023 07:34

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.

  • Wazayuni wapanga mashambulizi makubwa dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa wakati wa Pasaka

    Wazayuni wapanga mashambulizi makubwa dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa wakati wa Pasaka

    Feb 23, 2023 02:32

    Makundi na mashirika ya Kiyahudi yenye misimamo mikali yametoa wito kwa Wazayuni yakiwataka kuushambulia Msikiti wa Al-Aqsa katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Quds (Jerusalem) kwa mnasaba wa Pasaka ya Kiyahudi (Passover au Pesach).

  • Umoja wa Ulaya washindwa kulaani uchochezi wa waziri mwenye itikadi za kibaguzi wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Msikiti wa al-Aqsa.

    Umoja wa Ulaya washindwa kulaani uchochezi wa waziri mwenye itikadi za kibaguzi wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Msikiti wa al-Aqsa.

    Jan 05, 2023 07:59

    Kitendo cha uchochezi cha waziri mwenye itikadi kali na za kibaguzi wa baraza la mawaziri la utawala haramu wa Israel katika kuuvunjia heshima Msikiti wa al-Aqsa hakijakabiliwa na hatua yoyote ya maana kutoka kwa Umoja wa Ulaya.

  • HAMAS: Viongozi wa nchi za Kiislamu amkeni kukiokoa Kibla cha Kwanza

    HAMAS: Viongozi wa nchi za Kiislamu amkeni kukiokoa Kibla cha Kwanza

    Jan 05, 2023 03:22

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amewatahadharisha viongozi wa nchi za Kiislamu kuhusuu njama za kila namna za serikali mpya ya kifashisti ya Israel na kuwataka waamke kukiokoa Kibla cha Kwanza cha Waislamu.

  • Chuo cha al-Azhar chalaani waziri Mzayuni kuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa

    Chuo cha al-Azhar chalaani waziri Mzayuni kuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa

    Jan 04, 2023 07:33

    Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar cha nchini Misri kimelaani vikali hatua ya waziri Mzayuni mwenye misimamo ya kufurutu ada kuvamia msikiti wa mtakatifu wa al-Aqswa, kibla cha kwanza cha Waislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS