-
HAMAS: Jamii ya Kimataifa iachane na sera ya kuuma na kupuliza kuhusu jinai za Israel
Dec 20, 2022 02:35Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amekosoa sera za kuuma na kupuliza za jamii ya kimataifa kuhusiana na jinai za kila siku zinazofanywa na Wazayuni dhidi ya Msikiti mtukufu wa Al-Aqsa.
-
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa
Dec 14, 2022 07:50Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuuvunjia heshima msikiti huo mtakatifu.
-
Kombe la Dunia Qatar limeonyesha kufeli mpango wa kuanzisha uhusiano na Israel
Dec 04, 2022 02:38Khatibu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina amesema, wananchi wa mataifa ya Kiarabu na Kiislamu wanaoshuhudia mashindano ya soka ya Kombe la Dunia yanayoendelea nchini Qatar wamethibitisha kugonga mwamba mpango mchafu wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel.
-
Hamas: Wavamizi watateketea katika moto wa hujuma dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa
Dec 02, 2022 11:17Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imewatahadharisha Wazayuni kuhusu kuendelea kuuhujumu Msikiti wa al Aqsa na kuwatolea mwito Wapalestina kuhudhuria kwa nguvu zote na kwa mshikamano katika msikiti huo.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni hauwezi kubadili utambulisho wa Quds
Nov 17, 2022 02:23Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema: Utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kubadili utambulisho wa kihistoria wa Quds tukufu.
-
Khatibu wa Msikiti wa al-Aqswa aonya kuhusiana na njama za Israel za kuiyahudisha Quds
Oct 24, 2022 07:40Khatibu wa Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ameonya kuhusiana na njama za jeshi vamizi la Israel la kuuyahudisha mji wa Quds na kuudhibiti mji huo.
-
Walowezi wa Kiyahudi wandelea na hujuma na uvamizi wao dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
Sep 30, 2022 01:24Kundi kubwa la walowezi wa Kiyahudi likisaidiwa na vikosi vya usalama vya utawala ghasibu wa Israel limeuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Jumatano, tarehe 28 Septemba, 2022
Sep 28, 2022 02:18Leo ni Jumatano tarehe Mosi Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1444 Hijria sawa na Septemba 28 mwaka 2022.
-
HAMAS yaonya kuhusu vitendo vya hujuma dhidi ya msikiti wa al-Aqswa
Sep 11, 2022 04:29Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya tena kuhusiana na kuendelea vitendo vya kuuvamia na kuuhujumu msikiti wa al-Aqswa, vinavyofanywa na walowezi wa Kizayuni wakipata himaya ya jeshi la utawala ghasibu wa Israel.
-
Sheikh Ikrima Sabri: Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu
Aug 21, 2022 11:13Khatibu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina amesema kuwa, Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu kabisa.