Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Msikiti wa al Aqsa

  • Hamas: Wavamizi  watateketea katika moto wa hujuma dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa

    Hamas: Wavamizi watateketea katika moto wa hujuma dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa

    Dec 02, 2022 07:47

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imewatahadharisha Wazayuni kuhusu kuendelea kuuhujumu Msikiti wa al Aqsa na kuwatolea mwito Wapalestina kuhudhuria kwa nguvu zote na kwa mshikamano katika msikiti huo.

  • Hamas: Utawala wa Kizayuni hauwezi kubadili utambulisho wa Quds

    Hamas: Utawala wa Kizayuni hauwezi kubadili utambulisho wa Quds

    Nov 16, 2022 22:53

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema: Utawala wa Kizayuni wa Israel hauwezi kubadili utambulisho wa kihistoria wa Quds tukufu.

  • Khatibu wa Msikiti wa al-Aqswa aonya kuhusiana na njama za Israel za kuiyahudisha Quds

    Khatibu wa Msikiti wa al-Aqswa aonya kuhusiana na njama za Israel za kuiyahudisha Quds

    Oct 24, 2022 04:10

    Khatibu wa Msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ameonya kuhusiana na njama za jeshi vamizi la Israel la kuuyahudisha mji wa Quds na kuudhibiti mji huo.

  • Walowezi wa Kiyahudi wandelea na hujuma na uvamizi wao dhidi ya msikiti wa al-Aqswa

    Walowezi wa Kiyahudi wandelea na hujuma na uvamizi wao dhidi ya msikiti wa al-Aqswa

    Sep 29, 2022 21:54

    Kundi kubwa la walowezi wa Kiyahudi likisaidiwa na vikosi vya usalama vya utawala ghasibu wa Israel limeuvamia msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Jumatano, tarehe 28 Septemba, 2022

    Jumatano, tarehe 28 Septemba, 2022

    Sep 27, 2022 22:48

    Leo ni Jumatano tarehe Mosi Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1444 Hijria sawa na Septemba 28 mwaka 2022.

  • HAMAS yaonya kuhusu vitendo vya hujuma dhidi ya msikiti wa al-Aqswa

    HAMAS yaonya kuhusu vitendo vya hujuma dhidi ya msikiti wa al-Aqswa

    Sep 10, 2022 23:59

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya tena kuhusiana na kuendelea vitendo vya kuuvamia na kuuhujumu msikiti wa al-Aqswa, vinavyofanywa na walowezi wa Kizayuni wakipata himaya ya jeshi la utawala ghasibu wa Israel.

  • Sheikh Ikrima Sabri: Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu

    Sheikh Ikrima Sabri: Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu

    Aug 21, 2022 06:43

    Khatibu wa msikiti mtakatifu wa al-Aqswa huko Palestina amesema kuwa, Quds na Msikiti wa al-Aqswa vinapitia kipindi kigumu kabisa.

  • Iran: Misikiti yote itaendelea kuwa vituo vya muqawama hadi ardhi zote za Palestina zitakapokombolewa

    Iran: Misikiti yote itaendelea kuwa vituo vya muqawama hadi ardhi zote za Palestina zitakapokombolewa

    Aug 21, 2022 02:29

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiisalmu ya Iran amesema kuwa, Misikiti yote duniani itaendelea kuwa vituo vya muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni hadi zitakapokombolewa ardhi zote za Palestina.

  • Jumanne, Juni 7, 2022

    Jumanne, Juni 7, 2022

    Jun 06, 2022 22:04

    Leo ni Jumanne, mwezi 7 Mfunguo Pili Dhulqaad 1443 Hijria, sawa na tarehe 7 Juni 2022 Milaadia.

  • Ismail Hania asisitiza kuuhami Msikiti wa al-Aqswa kwa kutumia nyenzo zote

    Ismail Hania asisitiza kuuhami Msikiti wa al-Aqswa kwa kutumia nyenzo zote

    Jun 06, 2022 05:41

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesisitiza udharura wa kutumiwa suhula na nyenzo zote kwa ajili ya kuulinda na kuuhamai Msikiti Mtakatifu wa al-Aqswa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS