-
Utawala wa Kizayuni umeweka rekodi mwaka 2016 ya kuua watoto wengi Wapalestina
Jan 05, 2017 16:10Shirika la Kimataifa la Kulinda Watoto (DCI) limeeleza katika ripoti yake mpya kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel uliua watoto wengi zaidi Wapalestina katika mwaka uliomalizika wa 2016 kulinganisha na miaka 10 iliyopita na wala hauwajibiki mbele ya yeyote kwa mauaji uliyofanya.
-
Shoukry: Kuuliwa watoto wa Kipalestina hakuwezi kutajwa kuwa ni ugaidi
Aug 22, 2016 16:12Sameh Shoukry, Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri ameamsha hasira katika Ulimwengu wa Kiarabu Jumapili hii baada ya kusema kuwa vitendo vinavyofanywa na Israel haviwezi kutajwa kuwa ni ugaidi dhidi ya raia wa Palestina.
-
Russia: Marekani inawasaidia magaidi wanaoua watoto wa Palestina
Jul 24, 2016 02:54Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa, ripoti zinaonesha kuwa, watu waliomchinja mtoto wa Kipalestina na kuonesha mkanda wa video wa kitendo cha kukata kichwa cha mtoto huyo katika mitandao ya kijamii wanasaidiwa na kuungwa mkono na Marekani.
-
UN: Israel inafanya ukatili dhidi ya watoto wa Palestina
Jun 25, 2016 12:52Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu ukatili unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watoto wa Kipalestina.
-
Mzingiro wa Israel wawafanya watoto Gaza waache masomo na kulazimika kufanya kazi
Jun 12, 2016 07:43Idadi kubwa ya watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza wamelazimika kuacha masomo na kufanya kazi ili kuzisaidia familia zao kimaisha kutokana na dhiki iliyosababishwa na mzingiro na mashambulio ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni dhidi ya eneo hilo.
-
Watoto zaidi ya elfu mbili Kipalestina wauliwa shahidi na Wazayuni
Jun 01, 2016 15:28Wanajeshi katili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewauwa shahidi kwa kuwapiga risasi watoto wa Kipalestina zaidi ya elfu mbili tangu kuanza Intifadha ya Masjidul Aqsa mwaka 2000.
-
Mashirika 40 ya haki za binadamu Ufaransa yatangaza mshikamano na watoto wa Kipalestina
May 01, 2016 04:21Zaidi ya mashirika 40 ya kutetea haki za binadamu nchini Ufaransa yametangaza mshikamano na watoto wadogo na vijana chipukizi wa Kipalestina wanaoshikiliwa kwenye magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Takwimu za watoto wa Kipalestina walioko kwenye jela za Israel na radiamali za kimataifa
Apr 12, 2016 08:07Kwa mujibu wa takwimu za utawala wa Kizayuni wa Israel kuna watoto 437 Wapalestina wanaoshikiliwa kwenye jela za utawala huo.
-
Askari wa Kizayuni wamewatia nguvuni mamia ya watoto wa Kipalestina
Apr 05, 2016 14:03Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewatia nguvuni watoto 1,899 wa Kipalestina tangu ilipoanza Intifadha ya Quds hadi sasa.