-
Arubaini ya Imam Husain AS katika Picha
Nov 05, 2017 07:24Waislamu kutoka kona mbalimbali za dunia wanazidi kumiminika Karbala kwa ajili ya Arubaini ya Imam Husain AS.
-
Arubaini ya Imam Hussein AS kwa Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Nov 03, 2017 02:54Assalam Aleikum Warahmatullahi Wabarakatuhu. Karibuni kujiunga nasi katika makala hii inayowajieni kwa munasaba wa siku hizi za Arubaini ya Imam Hussein AS. Makala yetu ya leo itaangazia siri hii kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Sayyed Ali Khamenei. Karibuni kujiunga nami hadi mwisho.
-
Al-Kaaba na Imam Hussein (as)
Sep 24, 2017 08:59Kaaba ni jina kongwe, tukufu na linalovutia zaidi la nyumba ya ibada ya Mwenyezi Mungu ambayo inapatikana katika mji mtakatifu wa Makka na katika ardhi ya Hijaz.
-
Muharram; mwezi wa rehema na huruma
Sep 22, 2017 08:55Mwezi wa Muharram ni mwezi wa rehema na huruma na ambao unaweza kuyafanya makundi na madhehebu tofauti ya Kiislamu kuwa na uhusiano mzuri wa kimaanawi.
-
Muharram, Mwezi wa Kujisabilia na Kuuliwa Shahidi
Sep 20, 2017 03:18Tunaingia katika siku ya kwanza ya mwezi wa Muharram mwaka 1439 Hijria Qamariya.