-
Ujerumani: Tulitamani kumpindua Bashar al Assad lakini tumeshindwa vibaya
Sep 26, 2017 04:45Balozi wa Ujerumani mjini Washington, Marekani sambamba na kukiri kwamba nchi za Magharibi zinawasaidia magaidi kufanya jinai nchini Syria, amesema kwamba, tulikuwa na hamu kubwa ya kuipindua serikali ya Bashar al Assad lakini tumeshindhwa vibaya sana.
-
Waarabu wapinga nchi za Magharibi kuingilia kati Libya
Mar 05, 2016 13:44Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni yanaonyesha kuwa raia wa nchi za Kiarabu wanapinga uingiliaji kijeshi wa nchi za Magharibi huko Libya.
-
Amnesty International: Magharibi ndiyo inayobeba dhima ya machafuko duniani
Feb 15, 2016 21:39Shirika la Msamaha Duniani limesisitiza kuwa, uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu unaotokea katika kona mbalimbali za dunia unafanyika kwa msaada wa silaha za nchi za Magharibi na kwamba Magharibi ndiyo inayopaswa kubeba ya dhima ya machafuko yote hayo.