Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Netanyahu

  • Netanyahu: Tunafanya mazungumzo ya siri na nchi nyingi za Kiarabu

    Netanyahu: Tunafanya mazungumzo ya siri na nchi nyingi za Kiarabu

    Aug 31, 2020 08:11

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema Tel Aviv hivi sasa inafanya mazungumzo ya siri na viongozi wengine wengi wa nchi za Kiarabu, juu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na nchi hizo.

  • Netanyahu aongeza bajeti ya Wizara ya Vita licha ya uchumi kudorora vibaya

    Netanyahu aongeza bajeti ya Wizara ya Vita licha ya uchumi kudorora vibaya

    Jul 25, 2020 06:56

    Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel ameitaka Wizara ya Fedha ya utawala huo ghasibu kutenga kiwango kingine cha dola bilioni moja kama bajeti ya Wizara ya Vita.

  • Hamas yasisitiza ulazima wa kuchukuliwa hatua za kivitendo ili kuzuia kutwaliwa maeneo ya Ukingo wa Magharibi

    Hamas yasisitiza ulazima wa kuchukuliwa hatua za kivitendo ili kuzuia kutwaliwa maeneo ya Ukingo wa Magharibi

    Jun 09, 2020 08:20

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imezitolea wito nchi za Kiarabu na jamii ya kimataifa kuchukua hatua za dhati na kivitendo kuzuia utawala wa Kizayuni kutekeleza mpango wa kutwaa maeneo ya Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan na kuyaunganisha na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Kiongozi wa upinzani ndani ya Knesset: Netanyahu anataka kuzusha vita vya ndani Israel

    Kiongozi wa upinzani ndani ya Knesset: Netanyahu anataka kuzusha vita vya ndani Israel

    May 26, 2020 03:33

    Kiongozi wa upinzani katika bunge la utawala haramu wa Kizayuni lijulikanalo kwa jina la Knesset sambamba na kukosoa vikali matamshi ya uchochezi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo aliyoyatoa mahakamani, amesema kuwa Netanyahu anafanya njama za kuibua vita vya ndani huko Israel.

  • Wazayuni waandamana wakishinikiza kupandishwa kizimbani Benjamin Netanyahu

    Wazayuni waandamana wakishinikiza kupandishwa kizimbani Benjamin Netanyahu

    May 10, 2020 03:12

    Mamia ya wakazi wa Tel Aviv, mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano mjini humo kupinga Baraza la Mawaziri lililoundwa na Benjamin Netanyahu na kushinikiza kupandishwa kizimbari waziri mkuu huyo wa utawala pandikizi wa Kizayuni.

  • Maelfu waandamana Israel dhidi ya serikali ya mseto ya Netanyahu

    Maelfu waandamana Israel dhidi ya serikali ya mseto ya Netanyahu

    Apr 26, 2020 03:28

    Maelfu ya raia wa utawala haramu wa Israel wamefanya maandamano kupinga makubaliano ya kuunda serikali ya muungano baina ya Benjamin Netanyahu ambaye ni kiongozi wa chama cha Licud na kiongozi wa chama cha Blue and White, Benny Gantz, huku wakimtaja Waziri Mkuu huyo wa Israel kama mshukiwa wa jinai na kiongozi fisadi ambaye hapaswi kuendelea kuuongoza utawala huo bandia.

  • Avigdor Lieberman ataka kupitishwa haraka sheria ya kumzuia Netanyahu kuwa waziri mkuu

    Avigdor Lieberman ataka kupitishwa haraka sheria ya kumzuia Netanyahu kuwa waziri mkuu

    Apr 20, 2020 22:27

    Avigdor Lieberman, Waziri wa Zamani wa Vita wa Utawala Haramu wa Israel amemtaka spika wa bunge la utawala huo kupitisha mpango wa kumzuia Benjamin Netanyahu kuwa waziri mkuu.

  • Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala haramu wa Kizayuni awekwa karantini

    Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala haramu wa Kizayuni awekwa karantini

    Mar 31, 2020 02:01

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa, Benjamin Netanyahu na wasaidizi wake kadhaa, wamewekwa karantini ya nyumbani.

  • Trump na Netanyahu wafunguliwa mashtaka ya kuhusika na jinai dhidi ya binadamu

    Trump na Netanyahu wafunguliwa mashtaka ya kuhusika na jinai dhidi ya binadamu

    Feb 28, 2020 04:24

    Raia kadhaa wa Marekani na Palestina wamefungua mashtaka dhidi ya viongozi wa Marekani na Israel ya 'kuunga mkono na kuhamasisha utendaji jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu' katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • HAMAS yamjibu Netanyahu: Muqawama umejiandaa kuufuta utawala wa Kizayuni katika historia

    HAMAS yamjibu Netanyahu: Muqawama umejiandaa kuufuta utawala wa Kizayuni katika historia

    Feb 13, 2020 04:12

    Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuhusu vitisho alivyotoa waziri mkuu wa Israel dhidi ya harakati hiyo kwamba: Muqawama wa Palestina umejiandaa na kujiweka tayari kuufuta utawala wa Kizayuni katika ulingo wa historia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS