-
Maelfu waandamana Israel dhidi ya serikali ya mseto ya Netanyahu
Apr 26, 2020 03:28Maelfu ya raia wa utawala haramu wa Israel wamefanya maandamano kupinga makubaliano ya kuunda serikali ya muungano baina ya Benjamin Netanyahu ambaye ni kiongozi wa chama cha Licud na kiongozi wa chama cha Blue and White, Benny Gantz, huku wakimtaja Waziri Mkuu huyo wa Israel kama mshukiwa wa jinai na kiongozi fisadi ambaye hapaswi kuendelea kuuongoza utawala huo bandia.
-
Avigdor Lieberman ataka kupitishwa haraka sheria ya kumzuia Netanyahu kuwa waziri mkuu
Apr 20, 2020 22:27Avigdor Lieberman, Waziri wa Zamani wa Vita wa Utawala Haramu wa Israel amemtaka spika wa bunge la utawala huo kupitisha mpango wa kumzuia Benjamin Netanyahu kuwa waziri mkuu.
-
Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala haramu wa Kizayuni awekwa karantini
Mar 31, 2020 02:01Ofisi ya Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Kizayuni wa Israel imetangaza kuwa, Benjamin Netanyahu na wasaidizi wake kadhaa, wamewekwa karantini ya nyumbani.
-
Trump na Netanyahu wafunguliwa mashtaka ya kuhusika na jinai dhidi ya binadamu
Feb 28, 2020 04:24Raia kadhaa wa Marekani na Palestina wamefungua mashtaka dhidi ya viongozi wa Marekani na Israel ya 'kuunga mkono na kuhamasisha utendaji jinai za kivita na jinai dhidi ya binadamu' katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
HAMAS yamjibu Netanyahu: Muqawama umejiandaa kuufuta utawala wa Kizayuni katika historia
Feb 13, 2020 04:12Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuhusu vitisho alivyotoa waziri mkuu wa Israel dhidi ya harakati hiyo kwamba: Muqawama wa Palestina umejiandaa na kujiweka tayari kuufuta utawala wa Kizayuni katika ulingo wa historia.
-
Israel: Wazayuni kuanza kuitembelea Saudia kwa ziara za 'kidini' na kibiashara
Jan 26, 2020 09:37Wizara ya Mambo ya Ndani ya utawala haramu wa Israel imesema utawala huo pandikizi utaanza kuwaruhusu Wazayuni kuitembelea Saudi Arabia katika kile kinachotajwa kama safari za kidini na kibiashara.
-
Netanyahu apatwa na kiwewe cha jibu kali la muuqawama kufuatia jinai dhidi ya Luteni Soleimani
Jan 07, 2020 01:30Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Kizayuni wa Israel, amelegeza msimamo kunako msimamo wake wa awali wa kuunga mkono jinai ya kigaidi iliyofanywa na Marekani ya kuwaua shahidi viongozi wa mrengo wa muqawama, ambapo sasa amesema kuwa Israel haikuhusika katika shambulizi hilo la Marekani katika uwanja wa ndege wa Baghdad, Iraq.
-
Netanyahu: Israel kusaini 'makubaliano ya amani' na nchi za Kiarabu
Dec 30, 2019 04:01Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema Tel Aviv karibuni hivi itasaini makubaliano ya amani na kuufanya wa kawaida uhusiano wake na nchi kadhaa za Kiarabu.
-
Netanyahu asalimu amri, akiri kushindwa kuunda serikali
Oct 22, 2019 04:32Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu amekiri kuwa ameshindwa kuunda serikali ya muungano, baada ya mazungumzo ya kisiasa kati yake na mshindani wake mkuu katika uchaguzi uliopita wa bunge, Benny Gantz kugonga mwamba.
-
Netanyahu katika njiapanda baada ya kubwagwa kwenye uchaguzi
Sep 19, 2019 09:31Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu ameingiwa na kiwewe baada ya kubwagwa katika uchaguzi wa Bunge la Israel (Knesset).