Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Netanyahu

  • Netanyahu atimua mbio kuelekea mafichoni akikwepa makombora ya wanamuqawama

    Netanyahu atimua mbio kuelekea mafichoni akikwepa makombora ya wanamuqawama

    Sep 11, 2019 07:53

    Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni, vimeripoti habari ya kutimua mbio Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo, kufuatia kuvurumishwa na wanamuqawama wa Ukanda wa Gaza makombora yaliyovilenga vitongoji vya walowezi wa utawala huo.

  • Malengo ya safari ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni huko Al Khalil

    Malengo ya safari ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni huko Al Khalil

    Sep 06, 2019 01:34

    Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala wa Kizayuni wa Israel Septemba Nne, kwa mara ya kwanza alifika katika mji wa Al Khalil (Hebron) katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kisha akaingia katika msikiti maarufu wa Masjid Ibrahimi katika mji huo. Kabla ya safari hiyo ya Netanyahu, rais wa utawala wa Kizayuni Reuven Rivlin naye pia alifika katika mji wa Al Khalil na kutembelea Masjid Ibrahimi.

  • Mfalme wa Jordan akataa kukutana na Netanyahu na hata kuzungumza naye kwa simu

    Mfalme wa Jordan akataa kukutana na Netanyahu na hata kuzungumza naye kwa simu

    Aug 04, 2019 03:42

    Mfalme Abdallah II wa Jordan amekataa ombi la Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel la kukutana naye na hata kufanya naye mazungumzo kwa njia ya simu.

  • Trump na Netanyahu wabwabwaja baada ya Iran kuongeza urutubishaji wa urani

    Trump na Netanyahu wabwabwaja baada ya Iran kuongeza urutubishaji wa urani

    Jul 08, 2019 02:22

    Hatua ya Iran ya kuingia kwenye awamu ya pili ya kupunguza kiwango cha ahadi zake ndani ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kwa mujibu wa kifungu nambari 36 cha mapatano hayo, imewatia kiwewe Rais Donald Trump wa Marekani, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Mike Pompeo na Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Mike Pompeo.

  • Netanyahu apata pigo la kihistoria, uchaguzi mpya waitishwa Israel

    Netanyahu apata pigo la kihistoria, uchaguzi mpya waitishwa Israel

    May 30, 2019 06:57

    Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel, Knesset, limepiga kura ya kujivunja baada ya waziri mkuu Benjamin Netanyahu kushindwa kuunda serikali ya mseto na hivyo kulazimika kuitisha uchaguzi mpya.

  • Msemaji wa Netanyahu ashambuliwa vikali kwa kuwaita waandamanaji wa Kipalestina 'wake za ISIS'

    Msemaji wa Netanyahu ashambuliwa vikali kwa kuwaita waandamanaji wa Kipalestina 'wake za ISIS'

    Mar 31, 2019 03:19

    Msemaji wa Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu amejiwa juu na watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Twitter kwa kuwaita wanawake wa Kipalestina walioshiriki maandamano ya 'Haki ya Kurejea' huku wakiwa wamevalia vazi la stara la niqabu kuwa eti ni wake za wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ISIS (Daesh).

  • Netanyahu atoa vitisho dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza, Qassam nayo yajibu vitisho hivyo

    Netanyahu atoa vitisho dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza, Qassam nayo yajibu vitisho hivyo

    Mar 29, 2019 03:50

    Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu ametoa vitisho dhidi ya wakazi wa Ukanda wa Gaza ambao umekuwa ukizingirwa mwa miaka mingi sasa, na kudai kuwa Israel itashadidisha mashambulizi ya kinyama katika eneo hilo.

  • Jihadul Islami yawaonya Wazayuni wasithubutu kushambulia Ghaza

    Jihadul Islami yawaonya Wazayuni wasithubutu kushambulia Ghaza

    Mar 25, 2019 09:05

    Katibu Mkuu wa harakati ya Jihadul Islami ya Palestina ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel usithubutu kufanya shambulio lolote dhidi ya Ukanda wa Ghaza.

  • Vyama vya mrengo wa kulia Israel vinapanga kumuangusha Netanyahu

    Vyama vya mrengo wa kulia Israel vinapanga kumuangusha Netanyahu

    Dec 31, 2018 06:51

    Baada ya kusambaratika baraza la mawaziri la utawala haramu wa Israel na kuchukuliwa uamuzi wa kufanyika uchaguzi wa bunge wa kabla ya wakati katika utawala huo, vyama vya mrengo wa kulia katika muungano tawala vimekumbwa na mgawanyiko mkubwa na sasa vinafuatilia mpango wa kumuangusha waziri mkuu Benjamin Netanyahu.

  • Zarif amshangaa Netanyahu kwa kusifia makombora mapya ya Israel

    Zarif amshangaa Netanyahu kwa kusifia makombora mapya ya Israel

    Dec 18, 2018 12:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali kitendo cha Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel cha kuonesha majivuno na kusifia makombora mapya ya utawala huo wa Kizayuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS