-
Waziri wa vita wa Israel: Litakuwa ni balaa kama Netanyahu ataunda serikali
Apr 05, 2021 07:21Waziri wa vita wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema litakuwa ni balaa kama Benjamin Netanyahu ataunda baraza la mawaziri la utawala huo ghasibu.
-
Ushindi na utengano kwa wakati mmoja katika kambi ya mrengo wa kulia huko Israel
Mar 29, 2021 04:41Baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa Bunge huko Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu) imefahamika kwamba, kwa mara nyingine tena kambi ya mrengo wa kuliai meibuka na ushindi katika uchaguzi huo.
-
Netanyahu afuta safari yake Imarati kwa kuihofu harakati ya Ansarullah
Mar 15, 2021 03:06Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni amesema kuwa amefuta safari yake katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kwa kuhofu mashambulizi ya makombora ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen.
-
Mrithi wa ufalme wa Saudia yuko tayari kwenda UAE kukutana na waziri mkuu wa Israel
Mar 11, 2021 07:18Duru za kuaminika katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zimeripoti kuwa, mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia Mohammad bin Salman yuko tayari kukutana na waziri mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wakati kiongozi huyo wa Kizayuni atakapokuwa safarini huko Abu Dhabi.
-
Netanyahu kizimbani kujibu mashitaka ya ufisadi, maandamano yashtadi
Feb 08, 2021 12:04Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu amepandishwa kizimbani, kujibu mashitaka ya ufisadi yanayomkabili, huku faili lake likifunguliwa upya wiki chache kabla ya kufanyika uchaguzi wa Bunge.
-
Netanyahu aahidi kuteua waziri wa kwanza Mwislamu katika serikali ya Israel, iwapo atashinda
Feb 06, 2021 12:04Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni ameahidi kuwa iwapo atashinda uchaguzi ujao huko Israel atateua waziri wa kwanza Mwarabu na Mwislamu katika serikali ya utawala huo.
-
Kuvunjwa Bunge la 'Knesset' na upeo wa kisiasa wa utawala haramu wa Israel
Dec 25, 2020 09:31Bunge la utawala haramu wa Israel Knesset lilivunjwa rasmi usiku wa kuamkia Jumatano iliyopita ambapo kwa kusambaratika serikali ya muungano, sasa uchaguzi mpya wa Bunge ambao ni wanne katika kipindi cha miaka miwili unapasa kufanyika Machi 23 mwaka ujao wa 2021.
-
Siri ya Netanyahu na mkewe kubeba nguo chafu Marekani ili zikafuliwe bure hotelini yafichuka
Sep 26, 2020 07:52Gazeti la Washington Post limefichua kuwa, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amekuwa na mtindo wa kubeba nguo chafu anapokuwa katika ziara rasmi nchini Marekani ili zikafuliwe kwa gharama za serikali ya nchi hiyo badala ya yeye mwenyewe kulipia gharama za ufuaji.
-
Netanyahu: Tunafanya mazungumzo ya siri na nchi nyingi za Kiarabu
Aug 31, 2020 12:41Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel amesema Tel Aviv hivi sasa inafanya mazungumzo ya siri na viongozi wengine wengi wa nchi za Kiarabu, juu ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na nchi hizo.
-
Netanyahu aongeza bajeti ya Wizara ya Vita licha ya uchumi kudorora vibaya
Jul 25, 2020 11:26Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel ameitaka Wizara ya Fedha ya utawala huo ghasibu kutenga kiwango kingine cha dola bilioni moja kama bajeti ya Wizara ya Vita.